Elections 2010 CHADEMA kuandaa maandamano makubwa Igunga Ijumaa kupinga kulipwa DOWANS

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.

CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.
 
da nimeanza kuaminiani yule mtoto wa Sheikh Yahaya aliyesema uchaguzi jpili hakuna.
 
da nimeanza kuaminiani yule mtoto wa sheikh yahaya aliyesema uchaguzi jpili hakuna. Ila ni sawa watz tumechoka sasa.
 
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.

CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.

Yeeeeessssss!!!!!!! Chadema waamue haraka ili nami niwahi kuchukuwa usafiri wa kufika huko.
 
Yakifanyika maandamano hayo, basi CCM bye bye Igunga. Lakini maandamano hayataweza kukubaliwa na polisi wa CCM kwa amri ya yule Njemba aliyeshikwa ugoni gesti!
 
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.

CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.

Safi sana, ndio maana nawakubali chadema! Chama la ukweli hili! Uamuzi, Msimamo, Vitendo kwa kwenda mbele!
 
nimeanza kuamini maneno ya mtoto wa shekhe yahaya alosema uchaguz j2 hakuna. Ila lazima tufikishe ujumbe na sasa naona wakati wa kuvumilia watz upo ukingoni.
 
mkiandamana tu wakati mnajikusanya Cuf tunawaambia kuwa tunapitisha helkopta na kukomba watu wote na maandamano yanafia hapo hapo.
 
daaahhhh................jamaaa yuuuuule ka namuona vile anavosepa na magunia yaliyojaa pesa
 
Wale watetezi(wanasheria)asasi zisizokuwa za ki-Serikali zimefia wapi na pingamizi lao walilokwenda kuweka mahakamani!?,ipo siku atatoka mgeni kwao huko na kuja Tanzania na kushirikiana na viongozi(MAFISADI-CCM)kuuza mkoa mmojawapo hapa Tanzania!!!!!,kwa magamba linawezekana hilo sbb hii pesa wanayolipwa Dowans ni wizi mtupu tena wa wazi na Watanzania tupo kimya tu ni nani aliiweka hii Serikali ya ccm madarakani!!!!?
 
watauza mara ngapi we ciril!? Kama wanauza hecta za eneo 3000,huo c ni mkoa wa katav umeuzwa?! Washangaa nini kama watu wanamilik wilaya kadhaa hapa nchn? Au hujui kuwa toka wimbo wa kilimo kwa wakubwa, watu wamejichotea ardh kupita maelezo?, hujui kuwa cku hz kila mtumish wa umma ni mchumia tumbo?. Kalale kaka,inauma sana,naweza vaa bomu muda wowote!
 
MAHAKAM YA KIMATAIFA!!!!!!!!!!!!!!!
MAHAKAMA YA KIMATAIFA!!!!!!!!!!!!!!

MAISHA YANGU YAKO MASHAKANI, NAANZA KUPATA HOFU, IPO SIKU AND IT IS VERY NEAR, NITAKAPOAMBIWA NIMEUZWA NA MAHAKAMA IMERIDHIA NIUZWE KWA KUWA MAKUBALIANO YA MIMI KUUZWA YALIFANYIKA KTK MAHAKAMA YA KIMATAIFA, HIVYO MAHAKAMA YA TZ HAINA MAMLAKA YA KUTENGUA KUUZWA KWANGU. lllllllllllllllllllllllllllllLLLLLLLLLAAAAAA HII BALAA NA LAANA KWA TAIFA. hALAFU MTU MZIMA NA AKILI ZAKE TIMAMU ANASIMAMA NA KUSEMA ETI ANAYETUTENDA HIVI HAMJUI JAAAAMMAAANNNI, IS IT A DEAL????????
WEZI HAO WEZI HAOWEZI HAOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Siku yao hawa wasio na uchungu wa nchi hii tuwanyonge kabisa wapote kwenye historia.

Poleni hamna rais kama Mimi
 
Hata wakikataa waiunganishe siku ya kufunga kampeni na itangazwe siku ili watu wajue.
Mipango ifanyike pia ili ipigwe Mwanza,Arusha,Mbeya, Iringa,kigoma,Kagera,Musoma, Kilimanjaro,shinyanga na dar kwa siku moja. Wakimaliza hiyo ipigwe nyingine ya sukari mpaka magamba wachanganyikiwe!
 
Nasema hivi kama kuna kiongozi wa CHADEMA anasoma hapa janvini,naomba msibitishe mapema kama maandamano hayo yatakuwepo ili tuje maana kwa hili sasa ni veme tukaonyesha hisia zetu,najiuliza hivi ni kwa wanaojua sheria hivi mimi sio mwizi ila kuingia mikataba na mwizi sio kosa?kwani huyu Richmond ni nani na yuko wapi?kwani ni Dowans asituambie Richmond alimpa dili walikuta wapi na kampuni iko wapi?sasa hicho ndo kilikuwa kinatafutwa kuiba raslimali zetu.Mnamlipa Dowans wakati asli yake ni uozo na hata bunge lilithibitisha kupitia kamati ya Mwankyembe.
Chadema hebu itisheni hayo maandamano tutakuja ili tutoe hisia zetu,hizo pesa analipa nani kama sio walipa kodi wa nchi hii?
Tena iatafaa ikiwa Ijumaa maana hiyo mpaka monday,hivyo kutakuwa na muda kuja kushiriki hayo maandamano.
 
Nimepata habari sasa hivi kutoka Igunga kuwa CDM inaandaa maandamano makubwa Igunga baada ya hukumu ya Mahakama Kuu ya kuitaka Tanesco iilipe kampuni fake Dowans, iliyozaliwa kutoka kampuni nyingine fake ya Richmond.

CDM wanaangalia uwezekano wa wafuasi wake wa mikoa na wilaya jirani kuhamasisha katika maandamano hayo ambayo yataenda sambamba na kampeni za kulichukuwa hilo jimbo lililotelekezwa na fisadi aliyesababisha tozo hiyo.

hukumu inatoka lini kama itakuwa kabla ya uchaguzi basi amini usiamini hukumu hiyo itahairishwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom