Je wapiga kura wa Igunga wanaambiwa kwa nini uchaguzi wa mbunge unafanyaka sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wapiga kura wa Igunga wanaambiwa kwa nini uchaguzi wa mbunge unafanyaka sasa?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by HISIA KALI, Sep 29, 2011.

 1. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka jana alikwenda rais Kikwete akawaambia wana Igunga kuwa Rostam Aziz ni mtu muhimu na mchapa kazi ndani ya CCM hivyo achaguliwe. Viongozi wa upinzani walienda wakasema Rostam Aziz ni fisadi yeye pamoja na chama chake hivyo hasichaguliwe

  Mwisho wa siku wana Igunga walimchagua Rostam Aziz na CCM. Hii ina maana alichosema Kikwete ndicho wana Igunga walichokiamini.

  Sasa cha kushangaza hata kabla ya mwaka kwisha tangu uchaguzi ufanyike, Rostam Aziz amejiuzulu ubunge kwa kutuhumu zile zilikuwa zinasemwa na viongozi wa upinzani kuwa Rostam Aziz ni fisadi. Tena safari hii tuhumu hizi zimetolewa na chama chake cha CCM.

  Wana Igunga wenye akili zao na watumia hizo akili kufikiri wanatakiwa kutafakari hili.
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,296
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hili ni swali la msingi sana, si kwa wana Igunga pekee,bali kwa waTZ wote. Tazama watu wanavyochezewa akili, eti Magufuli anasema akichaguliwa Kafumu watajengewa barabara na madaraja, walishindwaje chini ya ubunge wa Rostam aliyekuwa mhimili wao?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani kwani kazi ya akili ni nini?...si kupambanua mambo?
  Matendo yote mnayotaja hapo juu ni mpaka akili ikubali kuwa ni ya kishetani, ndipo mtu atachukua hatua positive!
  Kama akili imegoma, basi tena!
   
 4. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Naomba nipite tu naja baadae...
   
Loading...