CCM JUU: kwa mwendo huu tuambiane jamani?

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
197
image001.jpg

Inasemekana ni takrima kwenye kampeni huko Igunga jamani walio huko tupeni ukweli wenyewe wajameeni!
 
Hii picha ilichakachuliwa pale Manzese na ni ya zamani ndio waileta leo humu jamvini, kweli uko mbali na matukio

Usijiaibishe kwa kukosa uelewa. "Inasemekana" na "tupeni ukweli wenyewe" ni baadhi tu ya maneno yanayohitaji kuthibishwa kwa ndio au hapana. Hata kama ni Manzese zamani, unachothibitisha ni kwamba mambo ya namna hii yapo. Ulipaswa kusema tu kuwa haikutokea Igunda mwaka 2011 bali Manzese mwaka fulani. Tulia kabla hujatoa comments, tafadhali.
 
Mkuu tuliza munkari hii ndiyo JF!
 
nimecheka sana...! hiyo picha ya ubweche inanikumbushia wale wazee wa matamko!

Nani Heche au Mbowe hawa ndio wazee wa matamko!
Heche taingia achaguliwe Bavicha mpaka leo kaishatoa matamko zaidi ya 100.

Vipi lile tamko la Mbowe kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha limeishia wapi?
 
How can we avoid duplication of topic???. Hey! Mods futa hi mambo.
 
Nani Heche au Mbowe hawa ndio wazee wa matamko!
Heche taingia achaguliwe Bavicha mpaka leo kaishatoa matamko zaidi ya 100.

Vipi lile tamko la Mbowe kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha limeishia wapi?
hivi wewe kichwa nazi huwa sielewi unashabikia chama gani, mi mtu wa ajabu sana
 
wazee wa matamko ni ba............ta teh teh.maana wao ukiwapa ubwabwa tu hushusha hasira.
 
Nani Heche au Mbowe hawa ndio wazee wa matamko!
Heche taingia achaguliwe Bavicha mpaka leo kaishatoa matamko zaidi ya 100.

Vipi lile tamko la Mbowe kwenda kuvamia ofisi za Manispaa ya Arusha limeishia wapi?
Heche&Mbowe hawana njaa kama wale wafuga ndevu!
 
Back
Top Bottom