Hakuna rafiki wa kudumu katika siasa wala adui wa kudumu katika siasa, vijana wengi hasa cdm ni wachanga katika siasa wamezoea siasa furaha wakati wote kwao wanapoguswa kidogo hupiga kelele kama mtoto mchanga, wao siku zote wamejitahidi kukichafua CUF mbele ya macho ya watanzania lakini wameshindwa, na watambue kuwa walishindwa CCM wao wanapoteza muda hataweza, CUF nl moto wa pumba huwa hauzimiki, sasa fungeni mkanda vinginevyo mtatoka kabisa katika siasa nchini.,