Siku 14 kabla ya Ukombozi waliomteka Kamanda Odero wa CHADEMA Wajisalimishe Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku 14 kabla ya Ukombozi waliomteka Kamanda Odero wa CHADEMA Wajisalimishe Polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Sep 29, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tunakemea na tunalaani kitendo kilichofanywa na Wafuasi wa Lowassa na Ccm wilayani Monduli cha kumteka na kumtesa kijana wa Chadema ambaye pia ni kiongozi wa Vijana wa Chadema Arusha wajisalimishe polisi.

  Tunatoa siku 14 anzia leo tarehe 29th Sept 2011 kama serikali itaona kilichofanyika ni sawa basi yatakayoikumba Serikali na Nchi asilaumiwe mtu.Hili haliwezi kuvumilika na pia imefika wakati sasa Ccm ielewe kuwa kama ni fujo tunazijua sana tena sana tuu pia tumechoka sana tunaomba msitufikishe kwenye kulipizana visasi.

  Tuna uwezo wa kufanya hii nchi isitawalike tena,vyombo vyote vya Usalama visiwasaidie chochote.

  Kikwete waambie hawa Ccm wenzio amani tunaipenda lakini msitupatie machungu zaidi ya wizi na uchafu mliokwisha fanya wa kuuza na kutaifisha rasilimali zote za nchi. Pia Magufuli elewa Kila Goti Litapigwa na kamwe usiwadanganye wana Igunga kuwa utawasaidia sasa, mlikuwa wapi miaka 50?
   
 2. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Je vijana mpo tayari kuonyesha msimamo wenu, ccm wanaonyesha ukomandoo wao na kufanyia mazoezi kwa watu wengine kuona kama wamefaulu. Leo kwa yule kesho ni mimi, kwa nini nitembee njiani kwa wasiwasi kama nimeiba?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nasikitika nchi inakopelekwa na hawa manyang'au
   
 4. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaanza wao wengine wakijibu mapigo ndo utasikia wanasimamisha masikio na midomo juu watu wanahubiri fujo.
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wasiwasi wangu ni kama tutakuwa hai hizo siku 14 ulizozitoa! Maana wananchi tupo kama tunalala kwenye msitu wenye wanyama wakali, dakika yoyote mauti yanakungoja!
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,620
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wangu ni hela za ccm hazitawasaidia watu wakianza kulipiza kisasi.mia
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tangu jana Mi nafsi yangu imeshachafuka mbaya sana baada tu ya Crashwise kutujuza. Na ndg zanguni hebu tuweni na subira kidogo tujuwe kauli ya hawa vijana wa Andengenye kwa leo tu.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mangi! acha mikwara mbuzi hii nchi ni ya amani, eti unatoa siku 14 baada ya hapo eti mtu asilaumiwe.

  Toa basi tamko muitishe maandamano nchi nzima hicho ndio mnachokijua
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Mikwara Mbuzi hii, lakini tuendeleeni kuhubiri amani maana haki ya m2 haipotei.
   
 10. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  haya magamba yanakotupeleka kweli tutakwisha ... siasa za chuki na malipizi
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Haya maneno mbona hayaashilii amani? Ni maneno makali ambayo yanaonesha kuashiria ubabe, vitisho, majigambo, n.k. Una maana gani kusema "Tuna uwezo kufanya hii nchi isitawalike tena?" Mimi nilikuwa nadhani ungesema "tuna uweza wa kuitawala hii nchi". Hapa ningeelewa kwamba mnataka kunyakua utawala wa nchi hii na kuwaondoa watawala waliopo. Sasa unaposema isitawalike ina maana hakuna atakaye itawala; si ninyi wala walioko madarakani: KWA KIFUPI MNATAKA KUIFANYA TANZANIA IWE KAMA SOMALIA!! Manake Somalia ndio nchi ambayo haitawaliki!
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kimbunga, mpenda amani unasikia hayo maneno ya hawa CDM huyu Mangi ni kiongozi wa Bavicha unategemea nini hapo!

  Kila siku nasema CDM wasipokuwa makini kuruhusu wahuni na wavuta bange ndani ya chama kuwa na nguvu, kila siku kitakuwa chama cha wahuni
   
 13. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,855
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  sasa wewe kweli una akili unashabikia maovu!! Tumia akili kidogo usishabikie ujinga
   
 14. t

  tweve JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao wahuni wenu wa magamba wanaoteka watu unawaona wa maana siyo?msipende kutuchokoza !tukiamua huku mitaani tutawateka magamba wote maana tunawafahamu wengi wenu ni mazezeta na vikongwe.
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kweli nimeamini Wehu sokoni hawawezi kuisha, mimi tena ndio nimekuwa nashabikia maovu? Hayo maneno mwambia CDM mwenzako alioanzisha hii thread.
  Ritz, ni mpenda amani ndio maana napingana na huyu muhuni wa CDM alitoa siku 14, baada ya hapo waazishe fujo kama Somalia nchi isitawalike tena
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Giddy Mangi Mkuu naona umekuja na jaziba poa mkuu, bila shaka hiliswala polisi wanalifanyia kazi.Lakini tukikumbuka huyu Lowasa si ndiye alitufikisha hapa tulipo, sasa ni kuilipa DOWANS mabilioni ya fedha, na huyu DOWANS hapa Tanzania ni nani???????????
   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hivi Ritz wewe vipi, watu wateswe wauwawe unaonasawa tuu!!!!!!!!!!Kaa ukijua kuwa hili ni time bom lina react mkilichokonoa mjue kuna siku litalipuka, sasa linakalibia kulipuka!!!!!!!!!!!
   
 18. M

  Mzee Madoshi Senior Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mambo ya Monduli hayo, sio kila sehemu ni Igunga. Kumbuka, ukimwaga mboga, yeye anamwaga ugali. Sasa vyote vimemwagika ndio unakumbuka kuwa mwenzako kashiba na wewe hukushiba? Vile vile kabla ya vitisho kumbuka kuwa what goes around comes around, au kisayansi to every action there is always an equal and opposite reaction. Hivyo kama nchi haitatawalika kwa CCM, unafikiri inaweza kutawalika kwa CDM? Kumbuka bado tunapeleka chakula Somalia. Na mwisho kumbuka mfalme Suleimani aliomba HEKIMA
   
 19. m

  miradibubu JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 313
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tokomeza ccm haikubaliki kabisa jamni
   
 20. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wait and see
   
Loading...