Matumizi ya Helikopta kwenye kampeni ni aibu kwa Magufuli na serikali

MUHA ASILIA

New Member
Sep 29, 2011
2
0
Matumizi ya helkopta yanayo fanywa na vyama vitatu vikubwa hapa nchini yanathibitisha kuwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu. katika kuthibitisha hili je kampeni za dar es salaam hufanywa kwa helkopta katika kata zake??? Hii ni aibu pia kwa chama tawala kuiga matumizi ya helkopta kwa kuwa wameshindwa kuboresha miundo mbinu yani ni sababu mojawapo ya kukosa kura. Nachelea kusema kuwa CHADEMA kinaweza kikao chama bunifu na makini sana katika kuwa na mipango na mikakati inayotekelezeka kwa kung'amua fursa mbalimbali zilizopo.

Magufuli je serikali itatupatia helkopta na sisi wanavijiji vya igunga ili tuwe tunaenda hospitali kwa urahisi au mkimaliza kampeni ndio basi tena hamrudi mpaka muwe na helkopta............magufuli hii ni aibu kwako.
 
Hapa anajitukanisha mwenye bila kujua, najua watu wa CDM wataoita hapa na kuchukua hii point safi sana
 
Back
Top Bottom