Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kile kinachoonekana ni mpango wa maandalizi kwa ajili ya uchaguzi wa NEC ya CCM mwakani na uchaguzi wa Raisi na wabunge 2015 kuna maandalizi makubwa na yakutisha yameanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama siyokufuja pesa za walipa kodi nini?naomba hapa tuwekane wazi mimi sioni mantiki kwa vyama kutumia gharama zilizopitiliza kwa kukodi helkopiter kwa ajili ya chaguzi ndogo kama Igunga kwani ni...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Wingi wa matukio TZ unaifanya Tz kutokuweka vipaumbele kwenye mambo ya msingi, yapata miezi kadhaa baada ya kauli za dharula kutolewa zikilenga utatuzi wa tatizo la umeme miezi inazidi kusonga...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni miaka 50 ya uhuru ya Tanzania maji,umeme,ufisadi,mikopo kwa wanafunzi...e.t.c hvyo vyoyote vina2utafuna watu bdo wanaishi within $1 per day!! Miaka 50 ya uhuru ni ya kifisadi na kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
Naanza kwa kumnukuu spika 'sasa nitawahoji wanaosema ndio......., wanaosema sio........., haya waliosema ndio wamepita walisema sio wameshindwa hoja imepita asilimia 100 kwa mia' haaaa...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alitumia mkutano wa kampeni kumpiga vijembe Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kuwa alivunja sheria za nchi alipopanda punda na kumtembeza kwenye...
1 Reactions
78 Replies
8K Views
Eti jaman wa2 wa igunga mpiganaji ezekiel wenje yupo huko? Au yupo wapi? Mbn cjamsikia kwny kampeni igunga?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga. Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Niko Mza hapa, tunaishi mtaa mmoja na diwani wa Kitangiri. Nyumbani kwake kuna kundi kubwa mno la vijana pamoja na magari lukuki na Coaster ya kukodi ya Mukesh. Nilipouliza kuna nini, nikaambiwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?
4 Reactions
272 Replies
24K Views
Anaweza kujidadavua vizuri sana!! msikilize hapa. Pia sikiliza jinsi Chama tawala cha 2015 kinavyo konga mioyo ya watanzania Vijana tuamke......
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau kila nikitafakari nakosa muelekeo hasa kwa chama Tawala ambacho kimetawala Jimbo la Igunga tangu kupata Uhuru yaani 50 miaka, hawakupaswa kuhangaika kutumia Vyombo vya Angani, kuwahonga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
2 Reactions
70 Replies
9K Views
*Vyaanza kutumia helkopta kukamilisha kampeni zao *Magufuli aunguruma, aahidi kutoa bajeti maalumu *Rage apigwa faini 100,000/- kukampeni na bastola Na Benjamin Masese, Igunga VYAMA vya CCM na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
sina mengi ya kusema..tazameni Video hapo chini:
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV.. Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na...
0 Reactions
106 Replies
11K Views
Back
Top Bottom