Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

muulizeni kafuata nini chadema? wakati juzi alitaka kuua watu wetu na kuchoma magari ya chama?
6 Reactions
101 Replies
20K Views
Chama kinapokuwa madarakani kina wajibu mkubwa mbele ya jamii, na wajibu mmojawapo ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa watu wake na mali zao ndani ya mipika ya nchi siku zote na wakati wote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Jana CCM walifeli kama kawaida yao kufeli katika utekelezaji wa ahadi anazozitoa. Kawaida ya hawa Magamba ni kukodi watu na kuwapakiza kwenye makenta, Malori, mabasi, vibasi na marandcruiser...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unaweza kusikiliza mahojiano haya ya Dr. Slaa na VoA unaweza kubonyeza hapa: http://www.voanews.com/swahili/webcasts.cfm?CFID=202356887&CFTOKEN=62841279 Na chagua habari 16:30 siyo ile ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Imenipatia wakati Mgumu ghafla baada ya kupokea simu na kuulizwa kama ninaweza kukodisha lorry langu na kupeleka Karatasi za kupigia kura Igunga,huku masharti ya kazi hiyo ni pamoja na uzito ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Waungwana, Ni wazo langu jamani kwa Chadema, nadhani Ndugu Halima Mdee anahitajika kwenda Igunga kuwavuta akina mama ambao bado hawajaamua hata na wale ambao hawaeleweki
0 Reactions
22 Replies
4K Views
...ni-kitambo sijakuona wala kukusikia Tambwe Hiza,uwapi ndugu yangu?,kesho alfajiri naenda Igunga,vp nkupitie twende?,usione so mwana-kwetu,we twende tu ata kwa hiki kibajaj changu,nasikia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi hawa ni walewale waliotaka kuandamana?? Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
kwanza samahanini wanajamii wenzangu, ila leo ningependa kupata mawazo yenu, kwanin sis watanganyoka tunaikataa tanganyika yetu? Na hata pale wenzetu waz'bari wanapojivunia nchi tunawajia juu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya wananchi wa Igunga kuamua nani atakuwa mbunge wao, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa amenasa siri nzito ya jinsi...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Waraka toka Zambia: Ushindi wa Sata na PF ni funzo kwa Afrika na dalili njema ya upinzani kushinda Tanzania 2015 Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani uliofanyika Zambia tarehe 20 Septemba...
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Please could all voters show the world that we can have a peaceful election free of corruption for once? It's sad all we hear is about issues which are not important to voters and their real...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nitakuwa nawekea picha za mikutano ya CDM katika kipindi hiki cha lala salama, kwa kuanzia jionee hali halisi ambapo Mh. Freemani Mbowe alitua na chopa na kutema cheche. Karibuni,
14 Reactions
55 Replies
6K Views
Wandugu hawa jamaa nadhani malaria inapanda kichwani, yaani ni wtu wa fujo fujo tu kila mahali! ndiyo matokeo ya kutumia mimea korofi Terrible....... Christopher Maregesi, Bunda MAPINDUZI ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
TATIZO la mgawo wa umeme umekwamisha kesi ya kupinga ubunge wa Godbless Lema, baada ya mawakili wa upande wa wadai, Alute Mughwai na Modest Akida, kushindwa kuandaa na kuwasilisha mahakamani na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom