Mwakilishi wa Televisheni ya Emmanuel ya The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli ya...
Nimeona ni jambo zuri kuwa na threadi inayokumbushia hotuba za baba wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Tushirikishane ujumbe katika hotuba zake mbalimbali kwa manufaa ya umoja...
Wakuu
hili jambo limeongelewa sana lakini napenda kulileta jamvini kw auchambuzi , maswali na ufafanuzi zaidi
Je
Sababu hasa za maaamuzi ya serikali kuhamia Dodoma zilikuwa ni za kisiasa...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, helikopta inayotumiwa na CCM katika kampeni za Igunga imeripotiwa kupotea ikiwa angani wakati ikijaribu kutafuta vituo vilivyopangwa kwa ajili ya kumnadi mgombea...
nilimsikia dogo mahona akijifariji kwamba CUF imejaa wasomi. labda hakuwahi kufika Pemba:
pemba hawana barabara, ni vichochoro na vichaka tu from mkoani to chake.
wapemba ndo binadamu wanaoongoza...
This is quite a down-to-earth and dignified gesture for someone being axed from the state house....
President Rupiah Banda
I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION...
Nimekuwa nifuatilia hoja mbalimbal kuhusu ombwe la uongozi lililo ndani ya CCM niakaamini kuwa hoja zilizokuwa zinatolewa zinamantiki kutokana na kauli za viongozi wengi wa CCM na maamuzi yao...
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa...
wakiwa katika mkutano wa uliofanyika Leo asubuhi katika kata ya ziba uliofurika maelfu ya wakazi wa kata hiyo, kampeni meneja Anthony Kayange alikuwa akitaja jina la kila mgombea ambapo alianza na...
Majira News
Mbunge wa Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Bw. Salum Baruani akihutubia wananchi wa Kijiji cha Ngwamashimba wilayani Igunga wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi...
kama wana igunga hamjapata mishahara kuweni makinii mana mishahara inaweza kuachiwa jumapili ili watumie muda wao mwingi kwenye foleni za mabenki ili wasiweze kupiga kura. wasiawsi huu ni kwa...
• WASSIRA ANYOSHEWA VIDOLE VIWILI
na Waandishi wetu, Igunga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika hali isiyokuwa ya kawaida, jana kiliwatuma viongozi wake watatu kwenda kumwomba...
Nimesoma katika gazeti la Mtanzania la leo linasema kuwa Polisi walioko Igunga wanalipwa posho ya shs. 5,000/= kwa siku na imethibitishwa na mkuu wao Isaya Mgulu eti naye amesema anapata hiyo...
Wanafunzi wa Kidato cha 4 nchini kote watakuwa wakifanya MTIHANI WA TAIFA wa KUMALIZA KIDATO CHA 4 kuanzia tarehe 3/10/2011. Hivyo walimu kadhaa wa sekondari nchini kote watahusika kusimamia...
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga...
HELKOPTA YA KAMPENI ZA CCM YATUA IGUNGA, MAGUFULI, JANUARI WATIA TIMU
Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya...
Angalieni hii video hadi mwisho halafu mtoe comments kuhusiana na huu ugaidi wa CCM! Kwakweli hii nchi inahitaji mapinduzi ya mtutu, au nguvu ya umma. Maana kwa hali kama hii ni wazi hawataweza...
Mimi nasikia kichefuchefu na fedheha namna polisi wanavyofanya kazi yao katika kusimamia amani jimbo la uchaguzi Igunga. Kwa kweli si polisi tena bali ni chama cha siasa ambacho hakina usajili...
Wana JF,
Nafuatilia siasa za Igunga. Hivi sasa mawaziri wamehamia huko. Hivyo imedhihirika kuwa wapinzani sasa wanapambana na serikali siyo CCM. Hivyo, ni kitu gani kitakachomzuia Waziri wa Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.