Nini unawashauri CHADEMA?Je wajipange idara gani kuikabili CCM kwakuwa inaonekana kushindwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini unawashauri CHADEMA?Je wajipange idara gani kuikabili CCM kwakuwa inaonekana kushindwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaKiiza, Sep 26, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mwananchi toa mchango wako hapa kuipa ushauri Chama cha CHADEMA kwani hiki chama kimeonekana nichama kikuu cha upinzani nchini na kimeikabili vilivyo CCM mpaka wanaanza kutumia njia zisizo kuwa na kistaraabu.
  Ili kiweze kuvuka hapa kilipo yakupasa kukipa mawazo yako ili tuone niwapi kiimalishwe ili tuweze kuwa na mshikamano,Umoja,Chama imara,ili huko tuendako tuweze kuwa na viti vingi bungeni,na madiwani zaidi ya hivi tulivyo navyo!
  Toa Maoni yako mchango wako ni wa thamani kubwa.
  Asante na Karibu.
   
 2. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hawana uwezo wa kuongoza nchi hii,Chadema bado wanafikra za kumwaga damu hawatufai.watulieili watanzania waone kuwa nia yao siyo madaraka kwa mbinu zozote vinginevyo upepo utawageuka.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kwanini umesema hawawezi kuongoza nchi wakati wanaongoza kambi ya upinzani na michango yao tumeiona kwa mawaziri vivuli mpa baadhi ya viongozi wa chama tawala wamechukua mawaz yao na kuyafanyia kazi wewe kwanini umeona CHAADEMA hawawezi kutawala wala kuongoza nchi kwa kigezo kipi ulicho kitumia tufafanulie hapa lakini nacho jivunia ni uhuru wako wa mawazo.
   
 4. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhhh
   
 5. t

  themankind Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  unaandika matakataka yako,jaribu kuwa mchangiaji mwenye mtizamo chanya sio mlevi mlevi tu,nani alikuambia Chadema wanafikra za kilevi kama zako!!!!
   
 6. M

  MULIKIO Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chagga Development Manifesto (CHADEMA) bado hakina uhalali wa mpaka sasa. Ni kikundi tu cha wapinga maendeleo kilichokuwepo hata kabla ya vyama vingi. Ni kikundi cha wasomi wa kabila moja ambacho kimo ndani vyombo vya serikali ambacho kimeweza kuteka akili ya watanzania ili kutekeleza lengo la waasisi wake. Maajenti wake wamejaa TRA, BANDARI, na sehemu nyeti za taifa hili ili kuyumbisha uchumi wa taifa na kuimarisha mitaji yao. Ni kundi hatari linaloifanya serikali ishindwe kutekeleza majukumu yake, kwa kuwa wao ndio wasimamiaji wa ukusanyaji wa kodi, uingizaji wa bidhaa, na utoaji wa elimu. Kwa hiyo "It is a dominance class" in this country because it was favoured during colonial period and succeeded to escape Mwl. Nyerere attempt to eradicate tribalism. Ukisikia elimu yetu ni mbovu ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na ujambazi ujue chanzo chake ni wao, ukisikia serikali inapambana na mafisadi ujue chanzo chake ni wao. Ni bahati mbaya kwamba jamii zingine hazijapata elimu ya kuweza kujuwa wanavyo-operate, na kibaya kabisa ni pale unapokuta hata wasomi ambao hawajaelimika wamesombwa na tufani upepo wao. Naomba Mungu awasaidie watanzania wapate elimu yenye kuelimisha ili waweza kujinasua kwenye mtego utakao gharimu hatima ya uwepo wa jamii zao katika taifa la watu mchanganyiko na wapenda amani kama Tanzania. Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania!
   
 7. s

  shomshallo Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
  mapunduzi ya maendeleo ni jukumu letu.
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Yani kama watu wamesoma wasipate nafasi hizo ndo unamaanisha??wao wanafanya mkoa wao uwena maendeleo lakini hakuna mawazo unayoyafikiria umeonyesha udhaifu!!katika thread ndefu kama hii lakini umeelezea wivu??Kweli bado tuna safari ndefu watanzania zaidi soma Signature yangu chini!!!
   
 9. s

  shomshallo Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kanyasu,themankind na mulikio achen unazi, muwe na fikra za maendeleo au nyie mshapewa nafasi zenu katika hicho chama? mmh tuambien basi tuwajue msijifiche.
   
 10. s

  shomshallo Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kinyasu we ushakuwa mkumbwa ujitambue
   
 11. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  waachani wanao bisha kama akina Al-Saaf wa Iraq watanyosha tu maelezo maana cdm ni team iliyojaa vipaji hawataweza kuikosoa kwa mbinu yoyote.

  Mimi nadhani Kamanda Mbowe ameshasema kuwa yeye hatagombea umwenyekiti tena ili wabaya wa cdm wakose la kusema juu ya uchaga wanaouzungumza.

  Mimi nadhani pia kunahaja ya kuaddress issue ya udini ambayo wanadhani pia ni tatizo kwa cdm. Nadhani hizi propaganda za magamba zitakuwa zimefikia mwisho.

  Mimi naamini magamba kwa walivyoishiwa sera watakuja hata na issue ya kusema mbona chadema chama cha waomi tu au mbona chadema chama cha vijana tu na kadhalika.

  Nadhani issue ya udini ni critical ni lazima uzuiwe kwa nguvu zote ili kila aliyeko ndani ya chama asifeel hali hii hata Magamba na mke wake wakiongea.

  .
  Kama
   
 12. E

  Evergreen Senior Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Umejaribu,Hakika Umejaribu,hii stori ungepeleka kijiweni Ungepata hadhira kubwa na attention ya watu na bila shaka watu wangekuona Mwerevu!! Lakini kuleta hapa JF ulitakuwa uchukue dakika 5 uisome mwenyewe kabla haujaiposti ili ujue Msomaji wako atafikiria nn baada ya kusoma hili andiko lako!!

  Unataka tuwachukie wachaga kwa sababu wamepiga hatua katika maendeleo? Unataka kuendeleza zile Propaganda dhaifu kwamba CHADEMA ni chama cha Wachaga? Siamini kama nasoma Upuuzi huu JF,hata haugopi kuandika upuuzi? Wakati mwingine sio lazima kuchangia kila thread!!
   
 13. E

  Evergreen Senior Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nafikiri ni Muhimu sana kwa Viongozi wa Chadema kuwasisitizia Mawakala kuhakikisha wanapata nakala za Matokeo ya Uhesabuji kura ya kituo chake na Iwe imegongwa Muhuri wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Iwe imesainiwa na yeye mwenyewe na Msimamizi!! Ni muhimu pia kuzingatia kwamba fomu isiwe imekosewakosewa kwenye kuandika maandishi au namba!
  Wahakikishe pia wanakuwa MAKINI wakati wa Kuhesabu kura zenyewe!!
  TUTASHINDA!!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Nakuhakikisha wanaweka viongozi wanaokubalika makimboni nakuhakikisha wanawapa posho ili waweze kujitolea kwa moyo nakuweka ofisi mimi sidhani ofisi unaweza kugalimu 5ml kijijini kwakujenga wanajenga wanajizatiti kuweka ofisi zinazotambulika!
   
Loading...