Rage apigwa faini kwa kwenda na silaha mkutanoni

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni
 
Mbunge wa Tabora "Aden Rage" ametozwa faini ya sh. Laki moja kwa kosa la kupanda na silaa jukwaani siku chache zilizopita, hayo yamesemwa na mwenyekiti wa kamati ya maadili huko Igunga bw. Protas Magayane. Lakini pia mwenyekiti huyo amesema kamati yake imetoa karipio kali la maandishi dhidi ya CDM kuhusu vurugu ikidai kupokea malalamiko toka chama cha mapinduzi CCM

Source: TBC Habari saa 2, 28/09/2011
 
hivi polisi si waliambiwa na boss wao wamhoji wamefikia wapi au wanasubiri uchaguzi uishe maana yuko buz
 
Ukisikia dhana "mockery of justice", huu ni mfano wa hali ya juu kabisa.

What is LAKI MOJA?

Angekuwa sio mwanachama wa CCM wangethubutu kumtoza faini hiyo?

Na hizo fujo wanazodaiwa kuzifanya CHADEMA ni zipi? Zile za kupiga waandishi wa habari na kuchoma moto mabango na wagombea na bendera za CHADEMA, au ni zipi?
 
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Tabora Mjini (ccm) Aden Rage ameamliwa kulipa faini ya kiasi cha shilingi za kitanzania,150,000/= na Tume ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa kosa la kupanda jukwaani huku akiwa na Bastola kinyume cha sheria, ilihali yeye sio askari polisi.

Source: Radio one.
 
hilo ni kosa la jinai na mahakamani halina faini bali ni kifungo si chini ya miezi 6.amehatarisha usalama wa raia
 
Ukisikia dhana "mockery of justice", huu ni mfano wa hali ya juu kabisa.

What is LAKI MOJA?

Angekuwa sio mwanachama wa CCM wangethubutu kumtoza faini hiyo?

Na hizo fujo wanazodaiwa kuzifanya CHADEMA ni zipi? Zile za kupiga waandishi wa habari na kuchoma moto mabango na wagombea na bendera za CHADEMA, au ni zipi?

eti naye ni mbunge anatunga sheria huyo, CCM wanajua kosa alisofanya RAGE lakini kutokana na kutokuwa na mvuto kwa wananchi lazima wamlinde Rage ili uchaguzi mdogo usitokee
 
Mbona mnatuchangaja sasa wana JF lipi sahii wengine mnasema katozwa faini ya 100000 wengine 150000.which is which?
 
Yuko wapi kilaza Nape alieandika kwenye ukurasa wake wa fcbk kuwa hakuna ttzo kwa mtu kupanda na bastola jukwaani,kweli ccm masaburi yao haifanyi kazi kabisa vilaza tupu
 
Hiyo ni adhabu ya tume ya maadili, je tutegemee adhabu nyingine baada ya upelelezi ulioamriwa na waziri muhusika?
 
Yuko wapi kilaza Nape alieandika kwenye ukurasa wake wa fcbk kuwa hakuna ttzo kwa mtu kupanda na bastola jukwaani,kweli ccm masaburi yao haifanyi kazi kabisa vilaza tupu

Unategemea nape atasema nini katika suala kama hilo? Anaweweseka kwa kunyimwa posho ya uchaguzi wa igunga, kuna zaidi ya 400/-m huko zinaliwa tu kiholela.
 
Hiyo ni adhabu ya tume ya maadili, je tutegemee adhabu nyingine baada ya upelelezi ulioamriwa na waziri muhusika?

Polisi watakuwa wamepata kisingizio cha kutoendelea kumchunguza kwa madai kwamba amekwisha adhibiwa.
 
... just like that????????????????? ****!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Aghhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni
 
Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni

Faini ya laki moja!!?kazi ya kupiga mtu faini ni ya mahakama/jeshi la polisi au ni kazi ya ccm siku hizi!!Kama tutafika huko tunapotaka kufika basi tutakuwa tumechoka luanzia mwili mpaka akili
 
Ismail Aden Rage,katibu mkuu wa zamani wa FAT,Mwenyekiti wa SIMBA,Mbunge wa TABORA mjini,Tajiri maarufu,,,,aisee kweli power is very sweet!Basi kama hamuwezi kutuogopa sisi wapigakura wenu muogopeni hata mungu!Eh!
 
Kama kweli mambo yenyewe ndio kama hivi, basi kumbe wananchi tangu sasa tuwe tukimalizia juu kwa juu cash cash na watu kama hawa akina Rage kwa kuwa hata siku moja mkondo wa sheria kamwe hauwezi kuwafikia.

Kwa kweli kumbe ni serikali ndio inayotufanya wananchi kujiamulia tu siku zote kujichukulia sheria mkononi. Hili ni fundisho kwetu na ni maelekezo sahihi kukitokea jambo kam hili huko mbele ya safari, kitu gani kifanyike.
 
Kinyesi cha Ng'ome! Laki moja?
Kesi nyani kapewa ngedere, tulitarajia nini? Ndio imepita hiyo.
ONYO KWA WAPINZANI:
Wasije kuona kuwa Rage amepewa adhabu hiyo nao wakathubutu kutenda hata robo ya hilo. Wataoza jela.
 
Back
Top Bottom