Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Licha chama cha Mapinduzi kuwa na timu nzima ya uongozi wa mkoa wa Arusha akiwemo yule muuaji Mary Chitanda wamekosa watu kabisa kwenye kampeni za mwisho Engototo wilaya ya Monduli wakati mkutano...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Wana JF, Jana Mkulu alipokuwa anaongea na sisi aliibua tahadhari kwa wananchi wa Igunga kutotumiwa na Wanasiasa kufanikisha maslahi binafsi na tamaa ya madaraka iliyovuka mipaka. Nimekuwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
ITV wamekiri kuwa wameshindwa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa igunga kutokana na kuisha kwa ,muda waliopewa kurusha matangazo. mimi wacwac wangu ni hii tume ya ucjaguzi, iweje jimbo moja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2. Wenger na wachezaji wake walilala na viatu, Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Written by amini // 02/10/2011 // Habari // No comments Hili lilikuwa Jeneza lenye kutaka watu. Baada ya Serekali ya Smz kutowa takwimu za uongo wahanga wa msiba wa watu wao walio fariki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natuma salamu za pongezi kwa hatua na mafanikio yaliyofikiwa na Chama Cha CHADEMA katika uchaguzi wa Igunga. Hizi ni salamu za awali kwa yale matukio na mitihani mliyokwisha-ishinda kuelekea...
14 Reactions
211 Replies
23K Views
Hivi ni kwanini ITV inapoonyesha mkutano wa CUF Kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya ITV katika mkutano wa CUF huwa inapelekwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wazee Salaamuni kwa mpigo. Mimi pia niko Igunga. Ninayoyaona yananifanya niaumue kukata rufaa baada ya uchaguzi kwa sababu ya ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. CCM ishindwe au ishinde, ni lazima...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Upigaji kura unaendelea huko Igunga. Watu wengi wamejitokeza na kura zinaendelea katika hali ya amani na utulivu. Waliojitokeza kwa wingi ni wazee na kina mama. -------------------CLOSED: KUPATA...
12 Reactions
852 Replies
78K Views
Mpaka sasa CHEDEMA mnaongoza kwa kishindo,kijani na njano 2medata 2najipanga 2wachakachue kule vijijini ucku huu. Jamani hii nimetumiwa na mtu ambae anausika na chombo cha usalama.mawakala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KUENDELEA kubaki kuwa mwanachama au mpenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kama ni kwa bahati mbaya inakubalika, kama ni kwa kujua, basi wewe ni wakala wa kutuangamiza sisi Watanzania. Iwapo kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumeona matawi ya ccm yanaongezeka foreign land. Kifupi ni kwamba balozi wa Tanzania Marekani kafanikiwa tena kuwaleta na kuwakusanyisha Watanzania DC. Hivi tuna jadili haya baadhi ya Watanzania...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Wakati vyama mbalimbali vikipigana vikumbo kufunga kampeni zao Igunga, chama cha updp kilichavuna na kukamilisha kwa mafanikio makubwa lengo lao kuu la kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ni kauli ya msajili wa vyama alipokuwa akihojiwa TBC mda mchache uliopita kuhusiana na uchaguzi wa igunga alipokuwa akitoa maoni yake kuuhusiana na kesi za uchaguzi zilizoko mahakamani,matumaini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diwani wa CDM Ndg Nanyaro Ephata alitekwa yeye na mwenzake mmoja aitwaye Boniface na kupelekwa kusikojulikana. Wakiwa njiani kurudi hotelini ghafla walivamiwa na watu ambao walikuwa katika Toyota...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
CCM ndio chama kikubwa na kikongwe zaidi nchini Tanzania - Grand Old Party (GOP). Je CCM imefeli katika kuzikonga nyoyo za wananchi wetu wazalendo wa Taifa hili? Kama jibu ni 'ndio', basi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepita maeneo ya njombe nimekutana na wapiga campain wa ccm wakiwakimbia watu waliokuwa wakiwazomea barabarani. Kwenye mkutano maeneo ya chaugingi kulikuwa na watu kama 30,hao ni pamoja na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
BY SYLIVESTER DOMASA 30th September 2011 Tanzania expects to receive a delegation of the interim National Transitional Council of Libya (NTC) early October to deliver its message to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunahitaji kujua gharama za mchakato mzima wa kiasi cha fedha kilichotumika kwenye kuibuni na kuitengeneza hiyo nembo. Taarifa zisizo rasmi zinasema eti bilioni mbili za walipa kodi zimemezwa na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom