Serikali yapinga mpango wa NGO majina ya waliokufa MV Spice Islander kuwekwa hazarani


Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
1,854
Likes
661
Points
280
Kakke

Kakke

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
1,854 661 280
[h=1][/h]Written by amini // 02/10/2011 // Habari // No comments

MV-Spice-Islander-3-300x224.jpg
Hili lilikuwa Jeneza lenye kutaka watu.

[caption id="attachment_33031" align="alignnone" width="225" caption="Tukilala Wzanzibar na jumuia za kimataifa zitalala"]
imagesCAHD3FN7.jpg
[/caption]Baada ya Serekali ya Smz kutowa takwimu za uongo wahanga wa msiba wa watu wao walio fariki kwa Mv Islander wamejaribu kuziomba NGo kukushanya majina ya watu wao walio fariki ili ijulikane idadi halisi na yakweli.
Kuna fununu kuwa Serekali imezitahazarisha tasisi yoyote iwashe kufanya hivyo kwa vile tume tayari imeshapewa kazi hio.
Lakushangaza jee tume ilio shaguliwa na Rais itapingana na takumu za walio fariki kuwa ni 204?.
Wahanga wa msiba wa watu wao tayari wamejitolea kwenda na ushahio wa watu wao walio fariki ktk ofosi ya tume lakini wanapigwa dane dane na kubabaishwa ili wasumbuliwe na wachane na ufuatiliaji huo.
Kuna fununu zinasema meli ya Mv Spice Islander ilikuwa iko right off hairuhusiki tena kutembea baharini na kipindi kirefu iliekwa sehemu iozeane tu.
Lakini kutokana na nchi yetu ni jaa la mazogo zogo ya Serekali kuangalia mfuko wako tu, basi tuliletewa Jeneza litembealo Baharini ili kusubiri kuja kuuwa Wzanzibar.
Wzanzibar tujiulize nikwanini meli hii ilisainiwa a.) lengo la kusaini meli iliokuwa imeshafelishwa kutembea kulikuwa na lengo gani?.
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,112
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,112 280
hii nayo mpya lakini kwa ninavoifahamu serikali yangu kwa ujuzi wao wa kucover up,hii haiwatishi
 
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
1,566
Likes
10
Points
135
mashikolomageni

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
1,566 10 135
Let wait and see what will be the reaction of the govt when those names are out
 

Forum statistics

Threads 1,237,800
Members 475,675
Posts 29,301,533