Tumeona matawi ya ccm yanaongezeka foreign land. Kifupi ni kwamba balozi wa Tanzania Marekani kafanikiwa tena kuwaleta na kuwakusanyisha Watanzania DC. Hivi tuna jadili haya baadhi ya Watanzania wameonekana kumpigia kikwete makofi na kumpa heshima kubwa hapo kwenye land yao. Kitu cha kujiuuliza ni haya, aliyoyafanya kikwete kwenye uchaguzi wa 2010 (kuiba kura), kusababisha vifo Arusha, Mbagala na Gongo la Mboto, wizi wa funds za Watanzania EPA, Dowans, UDA inflation iliojuu na maisha mabaya Tanzania inamaanisha nini? Ukosefu wa Umeme? Uhaini Igunga?
The truth ni kwamba wapo makundi ya Watanzania ambao hata tufanye kitu gani kupambana na hii serikali ya ccm wao wapo tayari kuwapa forum ccm ili waonekane wapo relevant na watanzania. Tunayo yafahamu mpaka sasa hii sio diaspora ya watanzania ila ni kundi la watanzania dogo linalotafuta deals na nafasi za ku-replace ccm waliomadarakani.
Sasa wale walio-members kwenye dicota wasiojua maana ya hiki kikundi, waulize reports za hii mikutano yao au mafanikio yao yapo wapi? The facts kwamba wapo US wajiulize kumleta jk DC ni kumeleta maisha mazuri au wame-improve uchumi kiasi gani. Leo wanafanya parties na kusherehekea uhuru wa miaka 50 lakini watanzania hawana katiba, hawana maendeleo na mafanikio makubwa ni rights za kuiba na ku-cover up?
Hongereni balozi na dicota (future ministers) kwa kupigania investments Tanzania....
Whats relevant?

Bado tunakazi kubwa kuwaelimisha Watanzania popote walipo duniani....soma matokeo ya Zambia utaelewa vizuri!