Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Jamani naomba kuuliza! Haya matokeo huko Igunga ni saa 8 za mchana au saa 8 za usiku? naombeni kujua!
4 Reactions
80 Replies
9K Views
  • Closed
Dalili zinaashiria CDM kuibuka na ushindi dhidi ya CCM. MODERATOR NAYE ANAJARIBU KUCHAKACHUA,,,, UKWELI NI KWAMBA CDM INAONGOZA. KURA ZA VIJIJINI MNAZOZIONA SIO HALISI KAMA ZILIVYO KWENYE...
22 Reactions
2K Replies
183K Views
Nakumbuka wakati kampeni zinaaoza CUF walisema wameanza na mtaji wa kura 11 elfu je umeyeyukia wapi?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
Nimefanya uchunguzi sahihi na nimejiridhisha vya kutosha kuwa aliyepost kule twitter na hapa jf si Zitto Zuberi Kabwe (MB) kigoma kaskazini! Ametumia vibaya jukwaa hili na ameudanganya umma wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Matokeo hayajatangazwa mpaka sasa labda mpaka mchana ila ushindani ni mkali ccm na cdm source bbc swahili saa 12 ============== UPDATE ============== Wale wenye access, watch Channel Ten Now...
0 Reactions
247 Replies
24K Views
Wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa kujua kuwa kwa sasa watanzania hawajali ni chama gani kinashinda uchaguzi. Wao wanataka kuwa na maisha mazuri. Hivyo basi chama kitakachoonyesha kuwa kitawaletea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Naamini muda umefika kwa nchi yetu hii sasa kuwa na utaratibu utakaoleta tija kwa taifa. Na kwa kuanzia inatakiwa makamanda wa polisi wa mkoa (RPCs) na wilaya (OCDs) wasiwe wanapewa hizi nafasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lowassa ana uhuru kama mtanzania yeyote ile kugombea nafasi yeyote ile hapa nchini! wengi mmekuwa mkisema anagombea 2015 this is not news!! please mkimsema Lowassa epukeni ili ....maana ana uhuru...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Wadau, nimekua nikitafakari sana mwenendo mzima wa uchaguzi unaomalizika katika jimbo la Igunga, kwa kuhusianisha na suala zima la CCM kujivua magamba; kwa mtizamo wangu suala hili halitawezekana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali inayoendelea igunga hadi sasa ni kweli wananchi na wenye maslahi na uchaguzi huo wanashindania kushinda na kupata ubunge kwa KAFUMU au KASHINDYE au MAHONA? Au kuna lazaidi? mi nadhani sio tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabalozi wa nyumba wamekuwa wakitumika kwenye kila uchaguzi kukisidia chama cha Magamba kuiba kura au kuwatisha wapiga kura hasa wanaonekana kuwa ni wafuasi wa vyama vya upinzani. Hii tabia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF wenzangu, nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hili swala la uungwaji mkono na vijana kwenye mikutano ya vyama vya upinzani na kufikiri kwamba muda si mrefu chama hiki dhalimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mtu wangu wa karibu sana.Katika uchaguzi uliokuwa unafanyika wa udiwani wa kata ya stendi kuu Chama cha bemokrasia na maendeleo chadema kimeibuka...
6 Reactions
180 Replies
21K Views
Jamani hivi sisi akili zetu zikoje? Mtu anayeoneka haramu tumeshuhudia akimnadi mrith wake ndani ya chama chenye siasa uchwara kwa mujib wake! Hii imekaaje? Na hiyo maana yake ni nini!???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha Wananchi CUF, kinawiwa na wanachama wake tamko mahsusi kuwa ni nini hatma yake kwa sasa. Uchaguzi wa Igunga unafanyika katika mkoa ambao anatokea mwenyekiti wa chama, pamoja na mbunge...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wana JF, Niwape hongole wale waloshinda katika uchaguzi na niwape pole walioshindwa kwa sababu zozote zile. Pamoja na matokeo na idadi ya kura zilizotangwazwa, nimepata mshtuko mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenyu jf binafsi mimi nashangaa sana mitandao ya kijamii kutoa matokeo ya uchaguzi igunga hali kadhalika tume ya uchaguzi haijatangaza hata hivyo matokeo yanaweza kuchelewa kutangazwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nilimwahidi Nape kama nnavyosomeka hapa chini kumpa USD 100 kama ataenda Igunga na akahutubia mkutano wa kampeni. Hii ni kutokana na maneno yake mwenyewe kama anavyosomeka hapa chini. Sasa...
9 Reactions
51 Replies
6K Views
Matukio yanayopelekea Ccm kushinda siyo Sera na Imani ya Wananchi kwa Chama bali nguvu kubwa inayotumiwa na Serikali dhidi ya Upinzani,Mfano Magari yaliyotumika kwenye Chaguzi zote mengi ni mali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom