Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Shy-Rose Bhanji baada ya kushindwa kutekeleza sera sasa tunatumia mpaka watoto kwenye propanganda..hii ni aibuuuuuu....igunga tunapelekeshwa siyo siri banaaa... — nimejaribu kuweka picha za...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
wakuu nimemaliza kuangalia taarifa ya habari ya saa nne asubuhi katika kituo hiki cha televisheni,nilitegemea habari ya kwanza ihusu uchaguzi wa igunga,lakini hakuna habari yoyote iliyorushwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sat, Oct 1st, 2011 Tanzania Joel Bendera Abuse of public funds and denial of justice in delivering public service will not be tolerated and dishonest civil servants should consider...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
neno free n fair election sio gen kwa wataanzania kila baada ya uchaguz kuisha.ila kinachonchanganya mimi ni vigezo gan wanavitumia.labda sawa watu wanaweza kua free.lakin utasemaje fair wakat...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona tunacholishwa Igunga kupitia Tv zetu ni sumu tupu,kwanza leo asubuhi baada ya ITV kusema wako live CCM wakaamua kuukata umeme ili wajipange vizuri kuepuka kuonesha misululu ya vijana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
KAMPENI za uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga, zimezidi kupamba moto baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho...
0 Reactions
105 Replies
11K Views
Na Maggid Mjengwa, Ndugu zangu, Kule Igunga leo Jumapili wanafanya uchaguzi mdogo kujaza kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na Rostam Aziz. Tunawatakia uchaguzi mwema na wa amani. Juma...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Islam ni dini iliyokamilia! Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya...
6 Reactions
91 Replies
9K Views
Mngulu anasema hayuko tayari kuona wapinzani wakisherehekea ushindi hata kama watakuwa wameshinda .Haya ni matatizo kwani mwaka jana majimbo mengi ambayo wapinzani walishinda yalitangazwa baada ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwa ufuatiliaji wangu kwa kadri ya uwezo wangu,nimegundua maovu mengi yaliyobainishwa hasa hasa toka mfumo wa vyama vingi kuanza nchini mwetu.Najua kuna maovu mengi,ila kwa leo nayarejea machache...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari...
3 Reactions
88 Replies
9K Views
Habari za uhakika kutoka tbc1 live zinasema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la mwajuma shaaban kiura mkazi wa igunga amekuta jina lake limeorodheshwa katika majina ya watu waliokufa na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa. Minyukano...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo Tume ya Uchaguzi NEC wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Ni mengi yamekuwa yakitokea kwenye kampenzi za kuwania ubunge wa jimbo hilo dogo la igunga baada ya Rostam kuliachia jana tumeshuhudia mikatano ya kampeni msululu kama magomen mwembechai,usalama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom