Nembo ya miaka 50 ya Uhuru, Serikali iseme ukweli...

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,077
4,186
Tunahitaji kujua gharama za mchakato mzima wa kiasi cha fedha kilichotumika kwenye kuibuni na kuitengeneza hiyo nembo.
Taarifa zisizo rasmi zinasema eti bilioni mbili za walipa kodi zimemezwa na hiyo nembo.
 
Ufisadi ndio wazo la kwanza la CCM na viongozi wake akiwemo mwenyekiti wao.
Sita ona ajabu kusikia kuwa mabilioni yametekezwa na upumbavu wa nembo.
Hii ndio Bongolala land, nchi iliyojaa mapunguani na mahayawani
 
Tunahitaji kujua gharama za mchakato mzima wa kiasi cha fedha kilichotumika kwenye kuibuni na kuitengeneza hiyo nembo.
Taarifa zisizo rasmi zinasema eti bilioni mbili za walipa kodi zimemezwa na hiyo nembo.
Watu wenye akili butu utawajua tu, sasa gharama ya kutengenza nembo ukishaijua itakusaidia nini? sioni logiki ya kulalama bila kutoa mapendekezo ya kuboresha. Tufikiri mambo makubwa ya kuijenga Tanzania si kuwa Jamhuri ya walalamikaji.
 
hivi wewe huoni ni mis-use ya hela za walipa kodi? Naomba unikumbushe ni bunge gani la bajeti lililopitisha matumizi hayo makubwa kwa ajili ya nembo tu ya sherehe za uhuru?
Au na wewe una maslahi na hiyo nembo? Mnatunisha matumbo yenu wakati hapahapa mjini huduma ya maji si ya uhakika.
 
aisee cwangekuja kwangu kwa kuwa ni mzalendo ninge'design kwa 80000 mungu wangu
 
hivi wewe huoni ni mis-use ya hela za walipa kodi? Naomba unikumbushe ni bunge gani la bajeti lililopitisha matumizi hayo makubwa kwa ajili ya nembo tu ya sherehe za uhuru?
Au na wewe una maslahi na hiyo nembo? Mnatunisha matumbo yenu wakati hapahapa mjini huduma ya maji si ya uhakika.

Si kwamba sijali fedha za walipakodi nikiwamo mimi mwenywe, ninachokiona ni kwamba umeandika kwa hisia na kuongeza chumvi zaidi, tangu lini nembo ikatengenezwa kwa bilioni mbili? tatizo Wtz hatuaminiani kila kitu tunahisi kuibiwa tusiishi kwa hisia. Mbona CDM haijatangaza nembo ya vidole viwili ilitengenezwa kwa bei gani?
 
Tunahitaji kujua gharama za mchakato mzima wa kiasi cha fedha kilichotumika kwenye kuibuni na kuitengeneza hiyo nembo.
Taarifa zisizo rasmi zinasema eti bilioni mbili za walipa kodi zimemezwa na hiyo nembo.
Tuwekee hiyo nembo.
 
Watu wenye akili butu utawajua tu, sasa gharama ya kutengenza nembo ukishaijua itakusaidia nini? sioni logiki ya kulalama bila kutoa mapendekezo ya kuboresha. Tufikiri mambo makubwa ya kuijenga Tanzania si kuwa Jamhuri ya walalamikaji.

Kwenye red: Mambo makubwa ikiwamo matumizi mazuri ya fedha na rasimali za taifa.
 
Tunahitaji kujua gharama za mchakato mzima wa kiasi cha fedha kilichotumika kwenye kuibuni na kuitengeneza hiyo nembo.
Taarifa zisizo rasmi zinasema eti bilioni mbili za walipa kodi zimemezwa na hiyo nembo.

Weka hiyo NEMBO hapa kwenye jamvi tuitathmini kama kweli ina thamani ya 2 Bilioni.
Hata hivo sitashangaa kusikia hivo maana hawa CCM kule Igunga wametumia 10 Bilioni kwenye kampeni. Lazima wametafuta loop holes kama hizo kutengeneza mabilioni ya kwenda kuhonga Wana-Igunga!
 
Back
Top Bottom