NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia...
Tumejifunza nini katika Historia ya Majanga na Maafa yake Nchini?
Tanzania imekuwa na historia ya maafa tangu mwaka 1872. Maafa hayo yamesababisha vifo, uharibifu wa mali na mazingiraAina ya...
Inawezekana usiamini, lakini huu ndo ukweli. Askari wengi wa vyeo vya chini na vya kati wa majeshi yote(JWTZ,POLICE NA MAGEREZA) hawana kabisa imani na CCM. Unaweza ukaniuliza utafiti huo...
TBC1 imetangaza kwenye taarifa ya saa 2 usiku kwamba rais Kikwete atahutubia taifa: Hii hapa Taarifa Hotuba yake. Pekua chini kwa hotuba yake kimaandishi.
Vurugu mbalimbali zimejitokeza ktk kuhitimisha kampeni ktk kata ya Majengo leo.mpaka ninavyoongea vyama vya cdm na ccm vyote vimefungua kesi polisi,Cdm wakilalamika vijana wa Ccm,kuingilia mkutano...
Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni...
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania, Arodia Peter, ambaye amesafirishwa na kulipiwa na CCM Igunga, ametimuliwa na kutishwa na vijana wa ulinzi wa CCM katika mkutano wa chama hicho ulokua unahutumiwa...
wadau nomeona mnakadili igunga na kusahau kuwa kunakata ishirini na mbili,ambazo nazo zonafanya uchaguzi wa madiwani.naomba kuwatajia ili mfiatilie na huko ni chadema na ccm ndo wameweka wagombea...
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema...
Justice should be done and seen to be done in Igunga by election. Bila haki kutendeka na kuonekana ikitendeka jamani tusiwe wanafiki, itakuwa ngumu sana mambo kueleweka. Things won't be the...
Wadau,
Hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi..
Taarifa ya habari ya 20hrs naona TBC walikuwa wakionesha ufunguzi wa kampeni kwa CCM nashangaa wakawa wanonesha watu kwa mimbari ie Mkapa na Kafumu wakihubiri bila kutuonesha watu mara...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa karatasi hizo pamoja na maboksi hayo ya kura yamehifadhiwa nyumbani kwa mkuu wa wilaya hiyo, taarifa ambazo zimekanushwa vikali na kiongozi...
Wakuu nafikiri kuna umuhimu wa kufanya tafakari juu ya picha ya front page ya Gazeti la Habari Leo (state or public media?) toleo la leo. kuna picha pale na maelezo (caption) yafuatayo...
Haya ni maneno ya mwanaJF ambaye amepotea jamvini muda mrefu kwenye wall yake facebook.Kama mnakumbuka mara ya mwisho ni pale alipotoa taarifa za uongo kuhusu Chenge kuvuliwa gamba kwenye kikao...
wana JF naomba msaada wa kupata vitabu hivi vya mwanaharakati wa kenya nakumbuka nilivisoma zamani lakini kwa sasa vinaweza kuwa na maana kwa maisha yetu watanzania hata kama kuna mwenye soft copy...
Watanzania twahitaji maamuzi ya haraka ili kupambana na udhalimu wa rushwa na ufisadi katika nchi yetu kama anavyofanya sasa rais Sata kule Zambia kwa hatua yake ya mara moja kuchunguza mikataba...
Salaam wana-JF! Katika hali ya kunishangaza mpaka moyo kushtuka kijoti, wakati napitia hotuba ya Rais JK ya sept 2011 nilishtushwa na hili,nanukuu: ".....Ndiyo maana katika Wizara ya Mambo
ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.