Elections 2010 UPDP wameshafunga kazi Igunga!

nimie

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
525
104
Wakati vyama mbalimbali vikipigana vikumbo kufunga kampeni zao Igunga, chama cha updp kilichavuna na kukamilisha kwa mafanikio makubwa lengo lao kuu la kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Igunga. Ni wazi kuwa cuf, cdm na ccm wako huko kwa lengo kuu la kukipata kiti cha ubunge wa Igunga kumrithi RA. Lakini kwa mtazamo wangu updp lengo lao lilikuwa kuendelea kung'arisha lebo yao kama chama hapa bongo. Wengi wamejua uwepo wa updp kupitia kampeni yao iliyojaa skills ambazo wengi hawakuzitegemea.
When you know your destination no matter which way you'll pass, whats matter is reaching there! Bravo UPDP!
 
yaaani yule mgombea wao kiboko kasema atazuia watoto kwenda shule na majembe kama baba ubaya...atanunulia watoto gum boots kwa ajili ya mvua..hahaaaa
 
.....Vijana wataacha kukaa juani kama sola powa................
Utakaribishwa bia kwa hela yako
unatakiwa kukosa rivasi kama samaki
Good entertainment
 
baada ya kutoka hapa ni kwenda kunywa bia kwa hela yako sababu tushashinda tayari.kunywa hadi ukose rivasi kama samaki.hahahaaa...mia
 
Ya jana ilikuwa ni hii "ng'ombe hawataruhusiwa kulima, wanywa supu wanalalamika kwa mamantilie kuwa supu ngumu hii ni kwa sababu ng'ombe wanalimishwa" tutalima kwa paw tila' adi kwanza kilimo next
 
Wakati vyama mbalimbali vikipigana vikumbo kufunga kampeni zao Igunga, chama cha updp kilichavuna na kukamilisha kwa mafanikio makubwa lengo lao kuu la kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Igunga. Ni wazi kuwa cuf, cdm na ccm wako huko kwa lengo kuu la kukipata kiti cha ubunge wa Igunga kumrithi RA. Lakini kwa mtazamo wangu updp lengo lao lilikuwa kuendelea kung'arisha lebo yao kama chama hapa bongo. Wengi wamejua uwepo wa updp kupitia kampeni yao iliyojaa skills ambazo wengi hawakuzitegemea.
When you know your destination no matter which way you'll pass, whats matter is reaching there! Bravo UPDP!

Chama kisicho na malalamiko kama wengine walivyo
 
yaaani yule mgombea wao kiboko kasema atazuia watoto kwenda shule na majembe kama baba ubaya...atanunulia watoto gum boots kwa ajili ya mvua..hahaaaa

Ofisi yao ipo baa mkuu,teh teh teh teh!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom