Mkapa 'atalala na viatu' Leo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2.

Wenger na wachezaji wake walilala na viatu,

Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.
 

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,185
1,867
After what Mwigulu Mchemba did and the silence of the leadership in CCM on the issue plus Aden hooligan act I should say the people in Igunga were left with one and only one logical choice CHADEMA.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,103
Katika kituko ambacho ajawahi kufanyaa naamini ushindi wa leo
utamlaza xpresident mkapa kitandan na viatu na kama mkewe atakuwa
pembeni basi ajitayarishe kula vumbi la viatu leo wakati akijibiringisha usiku
kwa maumivu yatakaotokea igunga
 

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2.

Wenger na wachezaji wake walilala na viatu,

Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.

Huyu mzee wa watu wamemuingiza kwenye aibu tu...wazee kama hawa waachwe wapumzike,na wao wajue kusoma majira na nyakati...Mkapa anajua hali ilivyo CCM kaingia kichwa kichwa sasa hataaibika..Mbona mwenzie Mzee Mwinyi katulia tuli kama maji ya mtungini?
 

SEAL Team 6

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
655
118
Katika kituko ambacho ajawahi kufanyaa naamini ushindi wa leo
utamlaza xpresident mkapa kitandan na viatu na kama mkewe atakuwa
pembeni basi ajitayarishe kula vumbi la viatu leo wakati akijibiringisha usiku
kwa maumivu yatakaotokea igunga
Hili jamaa jinga sana jana wakati linahitimisha kampeni eti lilisema CCM ushindi lazima, linataka kutuletea kama yale ya Zanzibar.
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
13,631
23,368
Kama ccm wakishindwa leo itakuwa aibu mara ya pili kwa Mkapa kwani mwaka 1995 alipata aibu hii pale Temeke wakati alipomnadi bishoo Abdul Cisco Mtiro wakati yeye Mkapa akiwa Rais na huyo Mtiro akashindwa. Nitawapa ccm ushuri wa bure next time wasimtumie huyu mzee anayezeeka vibaya.
 

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
640
hivi babu wa loliondo bado anagawa kikombe?
Babu anagawa kwahiyo magamba yakanywe kikombe ili pressure ishuke.....mkapa alijitakia mwenyewe hii aibu ccm kwa sasa hakuna mwenye mvuto wote wameoza hata ndugu yangu Makufli kuja kwake Igunga hakuna impact yoyote na hapo ndo mwanzo wa kifo cha ccm mwaka 2015
 

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
kama wachezaji wa Aseno walivopigwa 8-2.

Wenger na wachezaji wake walilala na viatu,

Ni zamu ya Mkapa, Mukama, Mangula, Bulaya na wengineo kulala na viatu.


Tena sio kitandani, Labda sakafuni au kwenye makochi.
 

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
369
Kwa ujumla mpaka sasa ni kwamba Chadema wameonyesha kukubalika haraka sana pale IGUNGA. This must be a reasonable count down kwa CCM. So, kwa kweli ccm take care!!!!!!! Hata kwenye sanduku la kura dalili ziko very clear. I am watching.
 

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,890
2,617
Zee bomu. Eti linamsifu jk kwa upole tena lilivyo kaidi eti lingekuwa lenyewe lisingekubali yule dc kudhalilishwa. Away with him!
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Wamemtumia huyu mzee kwani ana expirience ya wizi wa kura kama alivyofanya zanzibar mwaka 2000
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom