Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tamko hilo limetolewa na ndugu John Mnyika Amesema cdm inaitaka serikali kutoa tamko la kutolipa pesa hiyo ndani ya siku 30 zaidi ya hapo yataitishwa maandamano ya nchi nzima!
2 Reactions
196 Replies
16K Views
Sasa nimeamini CCM ni chama kiadilifu tena chenye misingi ileile aliyoiacha muasisi wake Mwl Nyerere, ni chama chenye kuwajali wamanchi wake na ni chama chenye dira safi na chenye kuwatakia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulikuwa na mdahalo ambao uliendeshwa siku kadhaa kuhusu nishati ambapo Tanesco na watu wengine walihudhuria lakini watu wa wizara hawakuhudhuria. Meena aliahidi kuwa yeye ataenda kufuatilia kule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"....RIPOTI iliyohuishwa ya Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Tawi la Tanzania, imeonesha kuwa tangu ulipomalizika mgogoro wa kisiasa Visiwani mwaka 2010, juhudi madhubuti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Hi JF; Hadi sasa kuna Jumla ya kesi kumi na tatu zilizopelekwa mahakamani zinazo wahusu Wabunge wetu yaani; CHADEMA wabunge kumi (10) CCM wabunge wawili (2) CUF Mbunge mmoja (1) Je hawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
PRESIDENT Jakaya Kikwete in talks with the Deputy Secretary General of the United Nations, Dr Asha-Rose Migiro, at the State House in Dar es Salaam on Friday. (Photo by Freddy Maro). By...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
WAMWEKA KITIMOTO MKULO MFUMUKO WA BEI, HALI NGUMU YA UCHUMI Ramadhan Semtawa WABUNGE wa Kamati ya Fedha na Uchumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana, waligoma kuzungumza na Naibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika nyakati tofauti, Waziri Sita na Lowassa wameongea kwenye vyombo vya Habari, Lowassa akitoa kauli ya kutaka vyombo vya habari viache mara moja kumchafua na Sita nae amekua akiwaongele...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...wakuu wale wanaochukua data hii ni safari ya ngapi?
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Jopo zima la CDM wapo Tabora kwa kuwaambia ukweli juu ya yaliyotokea Igunga na mstakabali wa kesi yao makamanda iliyopo mahakamani. Mwanzilishi wa tawi la CHADEMA atoa wazi takwimu za safari za...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani hii mechi kati ya hawa heavy weights ndani ya magamba itaishaje? January anataka kummwamwagia Ngeleja mchanga ndani ya Ubwabwa. Tayari Jairo nje Riz1 naye kando kwa hasira ile mbaya . Hii...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi. Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo...
1 Reactions
139 Replies
15K Views
Wananchi walio wengi wamekuwa wakiangalia mwenendo wa nchi yetu kwa upande mmoja tu pasipo kuangalia huyu mungu aliyeiumba Tanzania na watu wake na kuiwekea vivutio vingi madini ,bahari milima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamisi Kigwangalla ameandika haya yafuatayo katika ukurasa wake wa facebook.. Hebu pitieni na nyie muone wenyewe.. "Kwa hakika dhulma imetamalaki katika nchi hii! Ukandamizaji umetamalaki...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) Mboneko Munyaga 20 October 2011 Tanzanians could be a mosaic of more than one hundred and twenty tribes but there is something that sets them apart as a people...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali.. Hivi tunaelekea wapi jamani? kwanini serikali yetu ni onevu kiasi hiki? Pesa za wahanga wa mabomu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Ubungo John Mnyika atakuwa live Mlimani Tv kujadili kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na namna ya kuchukua hatua stahiki. Kwa wale waliokuwa na wanajadili muda mfupi uliopita kuhusu...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Hazina yaani Wizara ya Fedha hivi karibuni au awamu ya pili ya JK imekuwa na chini ya uongozi wa waziri wa fedha Mkullo amekuwa anapatikana na kashifa nyingi sana na sasa amehamia kwa watumishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Sina sijaitaja CCM si kwasababi nina chuki nayo bali ni kwa sababu ninakiona wanachofanya so siwezi kuuliza. Lengo la Uzi huu ni Ni kina nani hasa katika vyama hivi ni wazungumzaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom