Hebu wasikie CCM wanavyoendekeza utani. Baada ya vigogo kama Kikwete, Mukama, Kingunge kushindwa kuleta muafaka kati ya makundi yanayohasimiana ccm, sasa Wassira naye kachukua jukumu la kuleta...
Mimi kama mwanachama wa kawaida wa CDM, siingii katika vikao vya juu vya chama, hivyo naamini ni sahihi nikitumia jukwaa letu hili pendwa kufikisha ujumbe kwa viongozi wangu.
Dr. Slaa, tunatambua...
mwenye info zaidi amwage..
anaumwa nini????????
----------
UPDATES:
Taarifa toka hospitali zinadai anaendelea kuchekiwa, kichwa ndicho kinamsumbua na ana 'bacterial infection'
Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa...
All ccm assets earned before 1992 must be returned to the Government via NHC, BMT and/or local Governments. It has to be this way because the assets were erected from Tanzanian Taxpayers' Money...
Kwanza nianze kukupa pole kwa maradhi
Kama ujuavyo, Chadema ndio chama kikuu cha upinzani bungeni na ndio kimetoa mawaziri vivuli. Wewe ni waziri kivuli wa wizara ya fedha na pamoja na mapambano...
Kwa kusema ukweli hii ni aibu kubwa nchi kutimiza miaka hamsini ya uhuru huku wananchi wake wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.mbunge wa kwela nae kathubutu kumkoromea diwani na kusema miaka 5...
nikiwa katika hali ya wasi wasi ya kauli mbiu ya kilimo kwanza na kilimo ni uti wa mgongo naaishangaa nchi kama tanzania kuona inashupalia watu kuuza mazao nje ya nchi kama kenya na uganda, hata...
Naomba walio karibu na wenye taharifa za Dr.Mwakyembe watujuze baada ya kufika India na kupatiwa matibabu tunaambiwa anaendelea vizuri hapa jamvini,shida yangu leo ni..
Je,baada ya kuwa adimitted...
Serikali inadai kuwa tarehe 9 Dec kutakuwa na maadhimisho ya 50 ya uhuru wa Tanzania,
Maswal yenye utata ni haya:
1:Je Tanzania ilitawaliwa na nani before huo uhuru?
2:Je Tanzania ilipata lini...
Sherehe zote zinazohusu Zenji Rais wa zenji ndo anakuwa mgeni rasmi kwasababu ndiye mwenye nchi ile, sina shida na hilo. Shida yangu ni kwamba uhuru tutakao sherekea si wa JMT bali ni wa bara tu...
mwalimu alikuwa na vision kubwa sana na nchi hii na kauli za kuhamasisha wakati ule ziliendana na vitendo but unfortunately kwa sasa misemao au kauli kama hizi si rahisi kutekelezeka kwani...
Jamani nisaidieni kupata maana kamili ya neno UPINZANI.
Kwa hapa TZ,Mimi sio CCM , nipo upande wa upinzani na napenda CDM. Sijapata kusikia vizuri kwa undani zaidi sera za CDM lakini kwa hali...
Nimejisikia huzuni sana baada ya kuikuta picha ya Rais Kikwete ktk gazeti la Mwananchi uk.3. Ktk picha hiyo, Rais Kikwete akiwa na Ofisa wa NBC, anaonyesha kadi yake mpya ya NBC Debit Master...
Tuseme nchi imechukuliwa na chama makini cha upinzani, unadhani katika kipindi cha kwanza cha Rais mteule nchi itakuwa katika hali gani kisiasa na kijamii?
AFRICAN LEADERS AGE
Abdoulaye Wade ( Senegal )- age 83
Hoseni Mubarak - X President ( Egypt ) - age 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) - age 86 Hifikepunye Pohamba (Namibia) - age 74
Rupiah Banda (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.