WABUNGE na Makamanda wa CHADEMA waunguruma Tabora

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Jopo zima la CDM wapo Tabora kwa kuwaambia ukweli juu ya yaliyotokea Igunga na mstakabali wa kesi yao makamanda iliyopo mahakamani.

Mwanzilishi wa tawi la CHADEMA atoa wazi takwimu za safari za Baba Riz huku akinukuu taarifa za JF. Alia na bodi ya mikopo kwa kusema hata nusu ya wanachuo wa SAUT tawil la Tabora hawajafika chuoni. Awahamasisha wananchi wa Tabora kufanya mapinduzi baridi kwa kutumia masanduku ya kura" amenukuu yaliyotokea Zambia"

Nitaendelea kuwajuza.
 
Ahsante mkuu wa taarifa! endelea kutupa taarifa, tunaomba kama unaweza kurusha picha!! I miss TBR, lived there for 2 years!!
 
Jopo zima la CDM wapo Tabora...................................Mkuu hebu tutajie majina ni kina nani wapo hapo.
 
Ahsante mkuu wa taarifa! endelea kutupa taarifa, tunaomba kama unaweza kurusha picha!! I miss TBR, lived there for 2 years!!

Picha zipo ila technolojia ninayotumia kurusha taarifa hizi inaleta mgomo kuweka picha. Asante kwa ombi lako nitalsihughulikia.
0clip_image002.png
0clip_image004.png

0clip_image006.png
0clip_image008.png

0clip_image010.png

PICHA HIZO HAPOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kamanda! Kamanda! Tunakutegemea huko ulipo na hakika MUNGU akupe nguvu uweze kuwatembelea na ku2pa mawili matatu Kamanda we2!
 
Kwa moto huu wa CHADEMA magamba wamechanganyikiwa kabisa!
 
Najua wananchi watawasikiliza na kuwadharau. Wamechoka na porojo za kuhamasisha vurugu.
 
Sasa ndo Mh. Silvesta Kasurumbai kapanda jukwaani baada ya Mwenyekiti wa CDM mkoa kumaliza kusafisha njia. Anasema kuwa watu wote watapata kubadilika.

Nitaendelea baadae!!!!!!!!!!!!!!!
 
Attachments

  • 24102011136.jpg
    24102011136.jpg
    330.8 KB · Views: 205
Come on,i can't believe it!!poromosha mkuu,nasema dondosha wewe chijana...i'm extremely excited,it's CHADEMA everywhere,everyconer,everytown,all the villages,homesteads...it's unbelivable.
 
Najua wananchi watawasikiliza na kuwadharau. Wamechoka na porojo za kuhamasisha vurugu.

Mmhm Kazi yako ngumu sana the more you post/reply to a threat the more you get paid ehe ! Kazi kweli kweli ! Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa shule yako haijakukomboa ila naamin ipo siku.
 
Mmhm Kazi yako ngumu sana the more you post/reply to a threat the more you get paid ehe ! Kazi kweli kweli ! Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa shule yako haijakukomboa ila naamin ipo siku.

Kwa mstari huu ameeanza kuelimika
 
Back
Top Bottom