Meena ulienda wizarani?

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Kulikuwa na mdahalo ambao uliendeshwa siku kadhaa kuhusu nishati ambapo Tanesco na watu wengine walihudhuria lakini watu wa wizara hawakuhudhuria. Meena aliahidi kuwa yeye ataenda kufuatilia kule wizarani kama watu wote walisafiri kama ilivyodaiwa na ataripoti gazetini kama kweli hakukuwa na mtu wa kuhudhuria mdahalo. Hivi ulisharipoti au ulifika wakakupa mlungura?
 
Back
Top Bottom