Jumla ya Wabunge kumi na tatu (13) hadi sasa wamepelekwa Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumla ya Wabunge kumi na tatu (13) hadi sasa wamepelekwa Mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Oct 25, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hi JF;

  Hadi sasa kuna Jumla ya kesi kumi na tatu zilizopelekwa mahakamani zinazo wahusu Wabunge wetu yaani;
  1. CHADEMA wabunge kumi (10)
  2. CCM wabunge wawili (2)
  3. CUF Mbunge mmoja (1)
  Je hawa wabunge vipi?
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hizo njama za ccm kutafuta ushindi mahakamani,jukwaani hawawezi kushindana na cdm,ipo siku watafikia mwisho tu.
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hivi huwezi kuchangia bila kuwa bias? Au ndo tatizo la kutumia masaburi kufikiria.
   
 4. L

  Lua JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  njama zao zitashindwa kwa jina la allah!
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Naona polisi wameanza sasa kuwatumiia mafisadi. Na wabunge wa ccm waliokuwa wanafuata mkumbo wameanza kuumbuka
   
 6. m

  muhimili Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa tubadili sheria za ubunge mwenye tuhuma asipewe ubunge
   
Loading...