January Makamba: Mbunge wa aina yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba: Mbunge wa aina yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Oct 17, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.

  Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).

  Na hivi karibuni pia nimeona website yake, www.januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.

  Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...

  Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.

  Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  kapata ubunge kwa rushwa ya $1m
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kupitia hiyo style ame accomplish nini?

  Mimi nilichoona kwake ana play game moja makini sana ktk "political correctness"
   
 4. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Dada yake aliuza mbumunje bro apate ubunge....hatari iii..
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Good innovations, keep it up
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,267
  Trophy Points: 280
  hiyo namba ya bure au unakatwa?........maana hizo namba huwa unakatwa kiasi fulan cha pesa..
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu kijana ambaye hivi sasa anaenda kwa kasi ya ajabu mno KWA KUTUMIA UDHAIFU ULIOMO NDANI YA CHAMA CHAKE HIVI SASA KUGUBIKWA NA MIGOGORO KIBAO, asipodhibitiwa kwa pamoja na wabunge wengine vijana akiwemo Zitto Kabwe, machungu zaidi ya mara mia inatusubiri.

  Nasema machungu zaidi ya mara mia ya kule Dowans itakua inatusubiri kule kwenye miradi kadhaa za gesi na madini nchini
  ENDAPO WADAU WOTE MUHIMU KATIKA SEKTA HII hawatopendezewa kuhakiki kila nukta ya yale yanayoendelea hivi sasa nyuma ya pazia.

  Hivi bado tu harufu ya petroli haijawaingieni puani kwa nini Zitto anapigania kufa na kupona kumng'oa Waziri wa fedha Mhe Mustafa Mkulo na huku January Makamba yeye akiwa ni tayari, keshajinyakulia kabisa nje ya utaratibu, Wizara ya William Ngeleja mpaka kufikia mahala waziri mwenye na katibu mkuu wake kujichagulia kujiweka kando kukwepa kufedheheswa.

  Wenyeviti kamati za Bunge tumekua nao miaka mingi lakini si kwa pupa hizi, si kwa kutafuta kuunganisha shughuli za kamati pamoja na zile za uwaziri zote kwa pamoja.

  Be warned everybody!!!!!!!!!
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dear Colleague

  We would like to draw your attention to the following executive dialogues. Please see the attached flyer for more information.

  Powering Africa: the Gas Option (PAGO 2) to be held at Serena Beach and Spa, Mombasa 7 - 9 November

  Join Africa's decision-makers to share experiences and explore solutions with Government officials, utilities and energy agencies at this high-level, interactive dialogue examining the future of Africa's gas.
  Latest PAGO and PAFO confirmed organisations include:

  • January Makamba, Parliamentary Committee for Energy and Minerals, Tanzania
  • Ministry of Electricity and Dams, South Sudan
  • Ministry of Energy and Mining, South Sudan
  • Nigerian Electricity Regulatory Commission
  • World LP Gas Association
  • International Finance Corporation
  • Kenya Electricity Generating Company
  JANUARY MAKAMBA, Chair of Tanzania's Parliamentary Committee for Energy and Minerals is set to turn discussion into action. Makamba confirms participation and attendance at this senior level debate on the development of gas and power across Africa. With stakeholders from Kenya, Mozambique, Namibia, Nigeria, the UNEP, IFC as well as major international players from Siemens, GE and Cummins this is a major opportunity for your organisation to join this important 'call for action'.
  Powering Africa: the Financial Options (PAFO 5) to be held at Serena Beach & Spa, Mombasa, 9 - 11 November
  Meet and engage with a range of Government officials, power executives and utilities from the public and private sector to discuss and act on investment opportunities across Africa. Please contact Amy Offord at amy@energynet.co.uk for more information or to receive a programme.
  Yours sincerely,

  Amy Offord
  EnergyNet Limited
  London
  amy@energynet.co.uk
  +44 (0)20 7370 8704

  HOJA YANGU:


  Je, kuna usahihi gani January Makamba, Mwenye kiti tu wa Kamati ya Bunge kuhusu Nishati na Madini, kwenda kuwakilisha Tanzania kwenye mkutano wa kimataifa kuhusu maswala ya gasi yetu hapa nyumbani na pengine kuingia kwenye mikataba mengine ndoano zaidi wakati yeye si waziri na Waheshimiwa Ngeleja na John Mnyika wao wapo tu????

  Na kapata wapi baraka za kwenda kuingia kwenye mikataba kwa niaba yetu (he is going to turn dialogue INTO ACTION)?

  Nielewavyo mimi Kamati yoyote ya Bunge letu kazi yake ni WATCHDOG (Legislative arm of the government) wa wananchi kwa niaba ya bunge ili kuhakiki kila walitendalo SERIKALI kama Executive arm of the government hivyo watendaji ni Ngeleja na John Mnyika. Hao ndio Executive hapa nchini kuhusu masuala ya nishati na madini full STOP.

  Sasa kwa kuwa tu kuna harufu ya pesa kukopwa kwa jina letu kutoka IFC na vile vile kwa mkono mwingine kuna utitiri wa mikampuni ama inayojenga miundombinu ya gesi, inayosafisha, inayosafirisha na inayouza - tena haya mambo mazito ya kuingi mikataba ya miaka nenda rudi apewe tu huyu kimya kimya hivi halafu kushirishwa kulia baadaye??????

  Everyone watch out!!!

   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwani January naye ni mbunge? alichaguliwa na nani kwa kura ngapi.
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  january namkubali kimtindo
   
 12. t

  tyadcodar Senior Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huyo ni kijana wa mafisadi the Lowassa n Rostam r behind him,thats why he teams up with Bashe in all his undertakings
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WADAU WA SEKTA YA NISHATI NA MADINI WASIPOMKODOLEA MACHO TAMAA ZA HUYU KIJANA JANUARY MAKAMBA NA ZITTO KABWE, TAIFA LETU KUSIKIA FAIDA ZA KUJALIWA GESI REDIONI TU HUKO MBELE YA SAFARI

  Mara baada ya ufisadi huu mkubwa wa DOWANS unaomkera kila Mtanzania leo, kuna uwezekano mkubwa sana ufisadi mwingine mkubwa zaidi tena utakaogharimu taifa mpaka vitukuu endapo
  HAWA WABUNGE VIJANA WANAOUTUMIA UDHAIFU WA CCM hivi sasa watakapoachiwa maswala hasa ya mradi wa gesi na madini kuchezea wapendavyo kwenye kujipeleka nazo kama mali binafsi kwa makampuni ya kimataifa.

  Tusipoziba ufa leo juu ya mikataba zaidi na hasa itakayosaidiwa kuingiwa na January Makamba na pengine kuchangi KUMPOFUSHA KABISA huyu Zitto Kabwe na huku kucharaza ndimimbili kwake,
  UFISADI UTAKAOFWATIA hasa juu ya MAJADILIANO JUU YASIODHIBITIWA NA WADAU WENGI JUU YA MIRADI ITAKAYOTOKANA NA GESI NCHINI, watu tujiandae kulia na kusaga meno zaidi.

  Onyo langu ndio hilo hapo, hutaki basi!! Ukistaajabu ya DOWANS subirini miradi ya gesi inayokuja.

   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huyu kijana anaweza kuwa tishio zaidi ya Rostam. Rejea waraka wa dada yake kwa Barrick. Tujitahidi kumpinga kwa nguvu zote.
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu ni ngumu sana hawa mafisadi wa nyakati tulizo nazo kuota mizizi kama ya rostam au chenge na mlokole feki lowasa
  mungu ametujalia tumefunguka macho,
  huyu tunamuanza hata kabla hajamaliza kipindi chake cha ubunge!
   
 16. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh !! Mleta mada mbona nakuheshimu sana leo imekuwaje ? Anyway wacha nisome maana ndiyo maana ya uhuru huo .
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimeona ni "bure",...sijajalibu maana so far sina cha kumwambia
   
 18. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Watanzania mtakaa na kuishia kusifia wanasiasa huku shida kibao zimewajaa hadi machoni ilihali wenzenu wala na kusaza na makombo kutupia mbwa,amkeni acheni ujinga!
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  atafutae hachoki.................january bado anatafuta kwa hiyo usisangae naye hiyo ndiyo style yake ya kutafuta
   
 20. M

  Masuke JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa mimi hana nia ya kumsifia Mbunge, ndo maana kaanza kwa kutoa namba 15***, na namba hizo gharama ya sms ni kubwa kuliko namba za kawaida, hivyo ili mwananchi awasiliane na mbunge lazima akatwe hela nyingi ambayo labda mbunge anapata commission. Na pointi ya pili ameweka plan zake kwenye mtandao ambao haufikiwi na asilimia kubwa ya watu anawawakilisha.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...