Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali ya nchi yawatisha maaskofu • Wakiri viongozi kuwatelekeza wananchi na Datus Boniface Tanzania Daima MAASKOFU wakuu wawili wa makani ya Anglikana na Kilutheri Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mheshimiwa Kafumu alitoa Hotuba yake ya kwanza Jijini Dar. Hii ni baada ya kutangazwa Mbunge wa Igunga. Pia alikubali maandamano ya kwanza kumpongeza kufanyika Dar si Igunga alikokuita nyumbani...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenya nayo tafadhali naomba anipatie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
0 Reactions
33 Replies
4K Views
MH Sitta ni kiongozi aliyefanikiwa kupita kwenye nyazifa mbalimbali ndani ya serikali ikiwemo uspika pamoja na uwazir,ni kiongozi ambaye amekuwa akitoa kauli nyingi ambazo binafsi hazitoi taswira...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
jamani swala la kuondoa posha ndy limekufa? Au zilikuwa sanaa za watu kupata umaarufu?
0 Reactions
2 Replies
973 Views
early signs shows that ennhada is leading in manny constitutiens ennhada believes that islam should be the reference point for country system and law
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Why, man, he doth bestride the narrow world Like a Colossus, and we petty men Walk under his huge legs and peep about To find ourselves dishonourable graves... William Shakespeare puts these...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sunday October 23, 2011 By FINNIGAN WA SIMBEYE, 23rd October 2011 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 332 SUSPENDED Geita Gold Mine (GGM) trade union Chairman, Aloyce Shigela and Secretary...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo Rais JK amemwapisha Dr Shein kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri na kisha amehudhuria kikao chake cha kwanza cha baraza hilo tangu achaguliwe kuwa rais wa zanzibar mwaka jana. Hii ni kwa mujibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunashangazwa sana na kitendo cha wizara hiyo kushindwa kuhamasisha watanzania umuhimu wa kupigia kura mlima kilimanjaro, kwa kweli inasikitisha kwa sababu watanzania wengi wameshindwa kujua nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The artist – not named because he is 'very nervous' – will be one of 15 people accompanying Charles and Camilla Stephen Bates guardian.co.uk, Thursday 13 October 2011 13.05 EDT...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwako Retired State Man! nimekuwa nikikufatilia mara nyingi sana lakini kwa wakati wangu binafsi, ulimaliza muda wako wa kuwaongoza watanzania kwa miaka 10,tulikuaga kwa heshima kabisa na...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Nawashauri vyuo vikuu vyote Udom,mzumbe,sokoine udsm mumuandalie El honourable Phds na kumtunuku mapema aitwe Dr kabla hajawa president ili tusiwe na mjadala juu u dr wake pindi atakapokuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana Jamvi naomba kuuliza. Nimeona matangazo mengi kuhusu kuupigia kura Mlima Kilimanjaro uwepo kati ya maajabu saba ya Dunia. Mimi kama mwenyeji wa mkoa huu na mkazi wa maporomoko ya mlima huo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana Dossier ya huyu mtu, Rostam Aziz, inahitajika haraka sana. Tunataka kumjua undani wake wote, kwani tunataka kum-expose. Inaonekana dhahiri kwamba yeye -- tangu enzi za Richmond --...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila mtu nchini tz amekuwa akilalamikia muhimili wa sheria nchi hii ya tz na jinsi ambavyo ofisi ya mwanasheria mkuu ambayo ndio inatakiwa kuwachukulia hatua wale walioibia nchi raslimali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Prophet Joshua on Sunday 23 October 2003 said this “Africa Will solve its own problems. If it doesn’t , others like NETO will do. But how can Africa do it while all the X presidents, and leaders...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA,kamanda Freeman Mbowe,amefanya mkutano wa hadhara jimboni Hai,mkutano mkubwa pamoja na kufungua shina la wakereketwa.Wakati wa ufunguzi wa shina hilo wanachama wa...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Tanzania ni ya Watanzania sio ya CCM au chama chochote, kauli ya Nape aliyoitoa pale Manzese nakusema Tanzania inawenyewe na wenyewe ni CCM, He is wrong. Utawala wa kifisadi uliojaa rushwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom