Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete huyooo Australia......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Oct 24, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...wakuu wale wanaochukua data hii ni safari ya ngapi?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,169
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Lakini hapo nadhani pana ulazima wa kuwepo yeye, JK nakutakia safari njema uende urudi salama. Ila ukifika usifuke sasa,
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkubwa! Huyu haachi kuvuka!
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania wanawivu sana
   
 5. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,012
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Bakuli halijajaa!!
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Acha maneno yako majitaka..nani amuinee wivu JK? Kwa lipi hasa?
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,169
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Unakusudia haachi kufuka? Kufuka kwa wasiolelwa ni kuongea mivuke au pointless.
   
 8. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,166
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  Labda wewe ulipi kodi.
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,344
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ameenda kutafuta chakula ya watanzania, hawezi kubakia Ikulu anaangalia urembo wa mama Salma huku watu wanahangaika ni heri aende Ausie kuhemea. Tehe tehe, hakuna rais hapo bali ni mtalii....
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Safari njema vasco da gama
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,909
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Vipi kuhusu "kufuka with a smile"?
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  babu nadhan jamaa ana mshpa unamsumbua!
   
 13. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  JK katuletee na kocha km brazil ulipomleta Maximo mana Australia hakuna hata wanamzuziki wa kupiga nao picha kama ambavyo huwa unafanya USA
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,169
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Watu wameshamshitukia kuhusu hilo, wanachohitaji si kufuka tena bali utendaji
   
 15. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ameenda kutafuta suti nyingine.
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Haha! This time itakuwa kaendea viatu vya kuvalia zile suti...
   
 17. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watz tumefika mahali pabaya sana. Au ndio uhuru wa kua kwenye forum mnajimwaga mtakavyo. Kuna ubaya gani baba rtz akienda zake kupunga upepo uko. Vp ameacha meseji gani kwa baraza la mawaziri? Maana nimeona na SHEIN kaapishwa ili ahudhurie..
   
 18. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi amegoma kwenda kwenye mazishi ya shujaa gaddafi ambaye mwili wake unaozea kwenye bucha ya nyama huko mistra,halafu waarabu walivyo wajinga eti wanapita kuuona mwili uliooza kama majuha.........ukistaajabu ya mussa...........ya firauni yana nafuuuuu....
   
 19. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanakwenda kukutana wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola.
  Ulitakaje?
  OTIS.
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tutofautishe aina ya safari, hii ni safari muhimu kama kiongozi wa nchi kuwepo yeye binafsi halafu mbona safari nyingi huwa anawakilishwa
   
Loading...