Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ithangaledi, Oct 24, 2011.

 1. i

  ithangaledi Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Mbunge wa Ubungo John Mnyika atakuwa live Mlimani Tv kujadili kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na namna ya kuchukua hatua stahiki. Kwa wale waliokuwa na wanajadili muda mfupi uliopita kuhusu suala hili pamoja na wana-Jf wengine ni muafaka wa kusikia live kutoka kwake.
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hebu tujuze kinachoendelea, Ngeleja huku hasomeki kabisa
   
 3. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Updates plz.
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Huku kwetu haishiki!tujuzeni mlioko huko!
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Updates plz
   
 6. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tayari kipindi kimeanza mongoza kipindi ni dam mbaya yupo pale kamanda mnyika kuna jamaa yupo pale kama gamba fulani vle
   
 7. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kuna huyu jamaa Risasi Mwaulanga ni hopeless kabisa
   
 8. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mada uwekezaji jamaa kamponda mbowe eti anatengeneza sehemu za starehe badala ya sheemu za maendeleo sijui ni zipi
   
 9. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  Mnyika hyper akili ,mwalikwa mwenzake maulanga mlevi wa maneno!
   
 10. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa uchache tu walau kuwajuza kile kianchoendelea
   
 11. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  jamaa copy cat anajidai kuvaa gwanda kumbe gamba
   
 12. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mnyika anachana kweli kweli kamjibu risasi kwamba kama ni pombe ndo serekali ya magamba inako chukulia kodi
   
 13. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  wasikilisaji wanamponda jamaa limevaa magwanda ya chadema alafu ni gamba watu wanamchana kweli
   
 14. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnyika anasema moja kati ya mambo muhimu ni kusimamiwa kwa sheria ya matumizi ya Tsh. ili kuhakikisha wawekezaji na malipo yyte yafanywe kwa Tsh badala ya US$ kama ilivyo kwenye baadhi ya makampuni/taasisi
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wachangajiaji wanamshushua jamaa kwa kuvaa nguo za pipoz afu anawaita wakazi wa ubungo na sinza walevi badala ya kujadili ishu ya uchumi
   
 16. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  msikilizaji kaomba namba ya simu kamanda mnyika watu wanampongeza sana
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huyo ndiyo Mwakilishi wa Magamba dah hii Kali
   
 18. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Bado anaendelea upupu wake, anajicontradict
   
 19. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu mgeni mwingine aliyeko studio anasema watu wa sinza ni walevi sana eti ukimleta muwekezaji hawezi kuwekeza sbb ataona watu walevi....wananchi waliopiga simu wamemkomalia awaombe radhi....jambo alilokumbushwa kuwa ni kuwa hayo mambo yameachiwa kuwa hivyo na chama chake cha ccm
   
 20. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  risasi kambiwa aombe radhi jamaa anamumunya maneno uyo mnyika anamcheki tu
   
Loading...