Sitta na Lowassa mnaogopa nini kutaja Majina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta na Lowassa mnaogopa nini kutaja Majina

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Matteo, Oct 25, 2011.

 1. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika nyakati tofauti, Waziri Sita na Lowassa wameongea kwenye vyombo vya Habari, Lowassa akitoa kauli ya kutaka vyombo vya habari viache mara moja kumchafua na Sita nae amekua akiwaongele mafisadi na harakati zao za ku-compromise chama, nchi na kutaka kummaliza yeye kisiasa na hata kusitisha maisha yake. Wote wawili wameonge mengi sana kwa nyakati tofauti ila sasa wanacho nisikitisha ni uoga wao wa kusita kutaja majina hadharani ili watuonyeshe kuchukia kwao kwa hivyo vitendo..

  Juzi nilikuwa naangalia mahojiano ya kituo komoja cha kenya...jamaa aliokua akihojiwa hakusita kumtaja waziri mkuu wa Kenya tena kwa jina na kumwelezea kama ni mtu mwenye matatizo.

  sasa ni nini kina mshinda Mh. Sita kutaja majina ya mafisadi ili kila mtu ajue wazi na watu wasiwe na hisia labda hapa anaongelewa flani au flani. Na Lowassa nae anaogopa nini kuweka wazi watu wanaomchafua.

  Ifike wakati sasa akihojiwa mtu na akatuhumu kikundi cha watu flani kuhusika na njama flani basi awataje kila mtanzania ajue adui yetu ni nani.
   
 2. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la watu wengi hawapendi kumtaja mtu anayewakwaza ila utamjua tuu siku akiugua ugonjwa wa ajabuajabu baada ya wao kumtaja kwa kumuwekea sumu ya kunyonyoa nywere na ngozi kutoa mavumbi, baasi hapo ndo utajua kumbe yule ndiye aliyekuwa analalamikiwa!!!!!!
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Lakini 6 alishawhi kuwataja wale mapacha wa3...
   
Loading...