Majimbo ya Dar Es Salaam kuwaka moto 2015.....je kwa list hii amani itadumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majimbo ya Dar Es Salaam kuwaka moto 2015.....je kwa list hii amani itadumu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Oct 24, 2011.

 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Je ni sahihi watu kujiandaa kugombea mwaka mmoja tu baada ya kutoka kwenye uchaguzi mkuu?Jimbo la Dar Es Salaam linaongoza kwa kuwa na orodha ndefu ya watu,vijana wanaotaka kuingia mjengoni.Je,mbio hizi zitatuvusha Salama?

  1) Jimbo la ukonga linaongoza kwa kupaniwa na wengi akiwemo Julius mtatiro(CUF),Mbarouk Hemed(CUF),Rachel Mashishanga (chadema),John heche (Chadema), Machibya(Chadema),Mwita Magesa (Chadema), Michael P Aweda(Chadema),Eugene mwaiposa (CCM),Martin Shigela(CCM),kuna dada mmoja anafanya kazi Serengeti breweries pia yuko mbioni


  2)Ubungo : John Mnyika(Chadema),Nape Nnauye(CCM), mhando wa Tanesco (CCM),Ruge wa Clauds(CCM),Esther bulaya(CCM)


  3)Segerea: Fred mpendazoe(Chadema), Makongoro Mahanga (CCM), Ben Saanane(Chadema),Benno Malisa(Chadema),Nape nnauye(CCM),Mtatiro Julius (CUF)


  4)Kigamboni: Mtatiro Julius Cuf (huyu anajiandaa huku zaidi tena kwa hali na mali), Mwantumu Maulid(CUF),Anna komu (chadema), na msaniii mmoja wa bongofleva


  5)Temeke: Dickson Ng’hly wa chadema,Mtemvu wa CCM, Gaudensi owaya wa chadema,Didas Massaburi anajiandaa kupitia CCM


  6)Kinondoni :Ben Saanane (chadema),Shy-Rose (CCM),Nape Nnauye (CCM),Idd Azan (CCM),Suzan Lymo(Chadema),Issa mlela(bongo movie),Mwita Magesa (CCM),Martine Shigela(CCM),Baraka kange(CCM)


  Ilala kuna Jerry slaa(CCM),na wengine sijapata majina yao na kawe naendelea kutafuta .Tunageuka kuwa taifa la uchaguzi sasa.Nape na Shigela nawatakia kila la heri,naomba Muingie mjengoni mkadhibiti hali ya Mambo kama mlivyoweza kuwadhibiti huku nje.Chadema kazi kwenu,subirini chamoto mtakiona ilimradi msimwage damu tu kwa sababu kuna ambao hapo nawafahamu kwenye uchaguzi hapo huwa hawakubali kushindwa
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hizi habari nini vyanzo vyake
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Source:ni za mitaani jinsi tulivyoleta source za Mtatairo kugombea ubungo au shy-rose kugombea kinondoni mwaka jana
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Benno Malisa yupi?, Makamu M/Kiti UVCCM au Mwingine?! Yawezekama watu wanafanana majina ila vyama tofauti kama ile kesi ya ya W. Slaa wa CDM na ccm! Tafadhari weka maelezo sawa.
   
 5. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Gumzo la Barazani ! Hazitoshi kuwa habari za kuleta mjadala hapa !!!!!!!!!!
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Benno Malisa (CCM) sijui ataibukia huko chadema au atajirekebisha ndani ya hii Empire ili awe flag bearer.Hatumuhitaji kivile huko aje huko magwanda
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Habari za kufikirika. Hazna mashiko.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  huyu nape mbona yuko kila sehemu?
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Tutachukua majimbo yote,labda mtumie uhuni kwa sababu karibia wagombea wote ninaowaona hapo ni watuy wa fujo fujo tu.Mnajidai na hoja na mara nyingi watu wa Dar ni waswahili msitegemee mteremko kwa kujiamini na uwezo wenu wa hoja.Mtaona hali itakavyowawia ngumu
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe unamuona Nape tu kila sehemu?Mbona huyo dikteta Saanane husemi?Mbona husemi Julius Mtatiro?
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Masaburi at work!
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huku ni watanzania kupoteza dira na mwelekeo kwa kufikiria uchaguzi kila dakika badala ya kufanya kazi..
   
 13. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Si ndiyo kazi ya magwanda?uchaguzi na maandamano.Chadema mnahitaji kujipanga sana tu
   
 14. K

  Kakuru Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Si ametuarifu kuwa ni habari za mitaani!!!
   
 15. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hahaha kuna watu wengine kupitisha siku bila kubishana hawajisikii vizuri yaani masaburi yanakuwa yanawasha hivi, mwanzo nilitaka kuamini habari hii lakini baada ya kuona muendelezo wa hoja kutoka kwa maleta mada nikagundua alikuwa anatafuta tu chanzo cha ubishi! haya basi watu wa Dar ni waswahili hawajui kuchambua hoja so CCm itashinda na sio CDM wanaojifanya mabingwa wa hoja! Mi nilikuwa sijui kumbe CCM haina hoja za kuifanya ishinde Dar na inategemea tu kuwekeza katika ufinyu wa kuchambua hoja kwa waswahili wa Dar! sasa sisashangai kwa nini mwenyekiti wake hawezi jenga hoja!
   
 16. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Source Njozi tamu za mchana!
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ​Muondoe RUGE kazaliwa USA
   
 18. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyu bwana kaota kweli!, du amenikumbusha dogo Magesa Mwita, anafaa kuwa CDM, dogo ni kiongoz japo anaweakness za kimusoma!
   
 19. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  we mkurupukaji unatiletea habari za mitaani JF peleka upuuzi wako kwenye mitandao yenu ya kijinga na siyo huku nenda.ukatawaze ulale km huna cha kupost.
   
 20. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Upuuzi.....
   
Loading...