Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ama kwa hakika kama ukiwa nje ya nchi ukasimuliwa yanayojiri tz utam-rate msimuliaji kama muongo wa karne ila ukishuhudia mwenyewe unaweza kuota mvi ukiwa 'teenager'. Niko kwa kisofa changu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo imenibidi niandike kitu hii kutokana na hali halisi ya Tanzania na pengine kuwatatiza wengi kuelewa kwa sababu ya kichwa cha mada hii. Nimetafakari sana hali halisi ya Tanzania na kusema kweli...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu wana jf MBUNGE wa Jimbo la Nzega [CCM] Dk Hamisi Andrea Kigwangalla ameiomba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumpatia mkataba wa mgodi wa dhahabu uliopo Nzega wa Golden Pride...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi...
4 Reactions
152 Replies
13K Views
Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa...
0 Reactions
133 Replies
13K Views
Nimejifunza usemi mmoja, 'in the company of mercenaries, they care about nothing but their own survival'. Watanzania mnamuogopa sana Lowassa na mnamtukuza kuliko kiumbe chochote Tanzania, jamaa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna aina fulani ya uchangiaji ambayo imeonekana kupotosha wasomaji katika media mbalimbali kuwa kila linalofanyika Libya linaonesha kuwa tahadhari kwa watanzania, ili wasiendelee na moto wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
“…the draft report finds sufficient evidence to associate blood lead concentrations lower than 5 ?g/deciliter with decreased academic performance and cognitive function, and “increased incidence...
0 Reactions
3 Replies
913 Views
Hivi karibuni niliona sehemu ya barabara ya pugu ikiwa inafanyiwa marekebisho ambayo yanatokana na kutuama kwa maji maeneo ya karibu na Q/plaza. Nasikia hata misafara ya wakubwa iliwahi kutaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ok, 1. Chagua number kati ya 1 - 9. 2. Multiply by 3. 3. Add 3. 4. Multiply by 3 again. 5. Jibu utakalopata jumlisha namba zake (mfano 43 = 4 + 3). Halafu angalia jibu lako kwenye listi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka 50 iliyopita vijana km kina J.K. NYERERE, R.M. KAWAWA, K.N. MWIRU nawengine wengi walifanya jitihada za madhubuti bila woga kuhajikikisha wanaikomboa nchi hii tk kwa wakoloni. KIJANA WA...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika hali ya kusikitisha mnara wa kumbukumbu ya Baba wa taifa Mwl Nyerere ulioko katikati ya mji wa Dodoma makao makuu ya nchi umeanza kuharibiwa kwa kubandua vigae(tiles). Tukielekea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mh. Halima Mdee amegusa maisha ya Watanzania wengi. Serikali ipo na inakusanya kodi ili itoe huduma kwa wananchi. Kila Mtanzania analipa kodi, penda asipende. Ni lazima, ila watanzania wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana tarehe 23/10/2011 katika chaguzi zilizofanyika katika vijiji vitatu vya Bermi, Bonga na Endabeg, CHADEMA wamenyanyuka kidedea. Katika Vjiji vyote vitatu wagombea wa CHADEMA wamechaguliwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisikia,nikiona na kusoma ktk vyombo mbali x 2 vya habari vile vya UMMA na vya binafsi wanasema tunasherehekea/kuadhimisha MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ninavyofahamu TANGANYIKA...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi: Inakuwaje hii, kwamba katika kipindi hiki cha pili cha utawala wa JK, jumla ya Wabunge (Watunga Sheria) 14 walikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbali mbali katika vipindi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga...
2 Reactions
129 Replies
11K Views
Kupitia Dondoo za magazeti ya leo kuna habari inayomuhusu Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania (ACT), Dkt. Valentino Mokiwa,kulikoni wengine tuko mbali na magazeti tujuzeni? Manake Askofu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Isimani wamefanikiwa kuchangisha "thumuni thumuni" kutoka kwa wanachama wao wa vijijini na kufanikiwa kupata Shilingi 250,000 kwa ajili ya kufanya operesheni maalum...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naamini kabsa wote tunafaham mh rais jins asivyo aminika na watz, naye mwenyewe analifaham hilo, na wananchi hawampendi kabsa jinsi siku zinavokwenda (angalia tofauti ya matokeo ya 2005 na 2010)...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom