Riz1, Ngeleja Vs. Makamba Nani Ataongoza Wizara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Riz1, Ngeleja Vs. Makamba Nani Ataongoza Wizara?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Oct 21, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Jamani hii mechi kati ya hawa heavy weights ndani ya magamba itaishaje? January anataka kummwamwagia Ngeleja mchanga ndani ya Ubwabwa. Tayari Jairo nje Riz1 naye kando kwa hasira ile mbaya . Hii mechi mwisho ni vipi?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mimi kwangu yeyote ndani ya CCM ni mhalifu! kachangia umaskini wa nchi hii kwa miaka hamsini. Hope Libya ihamie hapa tuwachanechane hawa magamba
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Please stop insulting the intelligence of contributors and readers on this forum kwa habari zako za ubunifu. Nakushauri ujijengee kwanza credibility na integrity za vyanzo vyako vya habari. Pumbaaf!
   
 4. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  refa nani? uwanja gani? mashabiki nani? zinapigwa za uzito upi?
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari ya leo
   
 6. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huwezi kuiita mechi ni mtandao wa wizi
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  ni kwa sababu wana wa makamba wanalia wamechezewa rafu kwenye kala ka mchezo kao.
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  raha ya mechi bao
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dada yangu nakushauri ungeenda kusoma na kuposti kule kwenye jukwaa la "mapenzi na mahusiano" huku umekosea. Pole.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Na siku hiyo Wewe, Mbowe, Slaa na Tundu Lissue mkae msatari wa mbele kabisa ili tuone mnavyochanachana watu siyo mntanguliza wazee, Watoto, Wazawazito na akina mama kama ngao yenu. Hata hivyo watanzania wamesha washtukia hamna lenu tena , hizo SILAHA mtazo pewa kutoka ujerumani labda mkawindie wanyama katika mapori ya hai na kule KILIMATEMBO
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Asipopokea huo ushauri wa bure uliompa achana naye. Unajua huyo jamaa namfahamu sana , ndivyo anavyoganga njaa kwa kukaririshwa kusema yakufikirika kama Mfalme ****.
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Habari za kufikirika hazina mashiko hapa jf!
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  labda anamaanisha hii?
  [​IMG]
  308801_230542137007422_100001549126150_641023_1568998341_n.jpg
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  nini hii? Duh nchi hii ina mambo! Wakati wa ujana wetu hatungeweza kuyapats haya! Ahsante kwa waliogundua mtandao
   
 15. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Makamba mkali,membe hajiamini
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii,japo inaamsha hasira sana! yaani!
   
 17. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  kazi za ridhiwani nape na ngeleja. habari ndo hiyo. ukiwa uvccm lazima tu utawajua hao masaratani
   
 18. M

  Mzee Mbegu Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 5, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala huhitaji mtaalamu wa kugushi kwa mtu mwenye akili timamu kugundua kwamba hiyo email hapo juu ni feki...tena huna hata haja ya kusoma maudhui yenyewe yaliyoandikwa unajua ni feki. Kwanini nasema hivi?

  1) Mtu kutumia email address ya kazini kuomba rushwa, na tena kutaja kiwango chenyewe cha hiyo rushwa haiingii akilini, sembuse tu kuandika kuhusu mambo binafsi tena ya kimapenzi. Ungetegemea kama ni kweli mtu huyu asingeacha "paper trail" ya aina yoyote.

  2) Karatasi yake inaonekana imekunjwa-kunjwa, lakini maandishi yake yamebandikwa juu ya karatasi bila ya maandishi yenyewe kukunjika. Maneno yanaonekana kabisa kwamba yana kimvuli fulani ambacho kinatokana na jitihada za ku-copy and paste, au ku-fotokopi.

  3) Formatting ya email inaashiria kabisa kwamba imekuwa typed kwenye Word document. Tazama indentation kwanzo kabisa wa email ambapo sentensi imeanzia kati kati, na mwisho kwenye sahihi ambapo jina limekuwa centred. Hii formatting haipo katika email etiquette wala katika programs kama MS Outlook au Lotus Notes.

  4) Ukiprint email kawaida inatokea mistari fulani juu pamoja na jina la mwenye account, vitu ambavyo havipo hapa.

   
 19. M

  Mbonafingi Senior Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako we ni Thomasi huamini mpaka uguse. kalagabaho nchi inaliwa kwa kupokezana vijiti. Kwani kilichomuondoa mzeeMakamba ukatibu mkuu wa Magamba ni nini? Bado kidogo hii nchi itakuwa inafuata utawala wa kiiimla.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huu ni umbea na udaku...
   
Loading...