Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzee wa njaa, Oct 24, 2011.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali..

  Hivi tunaelekea wapi jamani? kwanini serikali yetu ni onevu kiasi hiki? Pesa za wahanga wa mabomu wanataka wazifanyie nini?

  Yaani aliyepata kiasi kikubwa ni Tshs. 700,000/= tu wakati kuna nyumba zenye thamani ya zaidi ya ya tshs. milioni 20 kwa nyumba moja zimebomoka, najiuliza kwanini serikali yetu inatuongezea umasikini?

  Nasema nimechoka.....dawa kujitoa mhanga ndio heshima itakuwepo.
   
 2. kamatembo

  kamatembo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 180
  Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali..

  Hivi tunaelekea wapi jamani? kwanini serikali yetu ni onevu kiasi hiki? Pesa za wahanga wa mabomu wanataka wazifanyie nini?

  Yaani aliyepata kiasi kikubwa ni Tshs. 700,000/= tu wakati kuna nyumba zenye thamani ya zaidi ya ya tshs. milioni 20 kwa nyumba moja zimebomoka, najiuliza kwanini serikali yetu inatuongezea umasikini?

  Nasema nimechoka.....dawa kujitoa mhanga ndio heshima itakuwepo.

  sisi nyumba yetu ilibomolewa maeneo ya kipawa mwaka juzi kupisha ujenzi wa uwanja mpya sina hamu tulipewa sh milioni 2.5 na kiwanja na kuna familia ya watu 12 walipewa laki5 nusura wazimie unadhani laki5 au milioni 2.5 utaifanyia nn kwa ujenzi wa sasa?serikali hii MUNGU atatulipia manaake hata ngoma ikiwambwa sana pia mwisho wake hupasuka tu.ipo siku yuko wapi leo hii tajiri gaddafi?
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  tuulize wenzenu wa mbagala. ilikuwa ni elfu arobaini na tano haizidi laki. tena kipindi kile ndo uchaguzi mkuu ulikuwa unakaribia.
   
Loading...