CHADEMA, CUF, NCCR SERA ZENU ZA TEKNOLOJIA ZINASEMAJE Na ZINATEKELEZWJE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, CUF, NCCR SERA ZENU ZA TEKNOLOJIA ZINASEMAJE Na ZINATEKELEZWJE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Oct 24, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu
  Sina sijaitaja CCM si kwasababi nina chuki nayo bali ni kwa sababu ninakiona wanachofanya so siwezi kuuliza.

  Lengo la Uzi huu ni
  • Ni kina nani hasa katika vyama hivi ni wazungumzaji wa mambo ya Teknolojia na Sayansi
  • Nini Mipango na sera za Kisiasa katika teknolojia ya vyama hivi ya vyama hivi Na mifano hai jinsi zinavyoweza kutekelezwa kwenye sketa mbali mbali.
  Naomba nijulishwe wakuu
   
Loading...