Hazina (MOFeA) imekuwa mwiba kwa watumishi wenye uadilifu na kutolewa kafara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hazina (MOFeA) imekuwa mwiba kwa watumishi wenye uadilifu na kutolewa kafara!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RasJah, Oct 24, 2011.

 1. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hazina yaani Wizara ya Fedha hivi karibuni au awamu ya pili ya JK imekuwa na chini ya uongozi wa waziri wa fedha Mkullo amekuwa anapatikana na kashifa nyingi sana na sasa amehamia kwa watumishi ambao ni wachapa kazi na kuwa victimize kutokana na misimamo yao.

  Mfano Mr. Kamugisha ex-CPAD alitolewa pale hazina kurudishwa TRA na sasa Dr Y. Kayandabila (ex-Asst Commissioner DEbt Analysis) nae katolewa kafala na kupelekwa ITA kutokana na msimamo wake kwa kukataa malipo ya bil 40 za NIDA kutoka kwa Mr. D Maimu.

  Je watu wenye uchungu na nchi wako salama hazina?
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo Mkulo mweyewe ni raia wa Malawi
   
Loading...