CCM na CHADEMA Arusha na Mwanza mmejifunza nini kutoka mbeya.
Meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CCM na CHADEMA mkoani mbeya imefanikiwa kuleta muafaka. Mikoa ya Arusha na Mwanza ina fursa...
sitakubaliana kwamba kutulia kwa vurugu Mbeya ni kutokana na juhudi za mbunge wa mbeya mjini (CHADEMA) Mr Sugu peke yake ni juhudi za pamoja za viongozi wa mkoa wa mbeya bila kujali vyama...
Bila shaka ni tukio la kwanza na la aina yake, kwamba polisi walishindwa kuwathibiti vijana wa jiji la Mbeya ambao walikuwa wakipambana nao kwa zaidi ya masaa ishirini. Kila sehemu ilisikika milio...
Yes, they are happy, if not, they could have already set up the fortification standards.124 days past since TBS promised to set fortification standards!
Over the past decade over 600,000...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu Mbunge wa Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya (CCM) Dickson Kilufi kutumikia kifungo cha miezi 10 au kulipa faini ya sh 500,000.
.JPG"]
Mh. Mbunge wa...
Katika kila tukio linalohusisha kutoelewana kati ya wananchi na serikali na kupelekea msuguano, mgogoro na ghasia tunaambiwa serikali husika ni kandamizi. Hii ni dhana potofu ni muhimu kila tukio...
wajumbe hivi wananchi wanapoamua kukinzana na maamuzi kandamizi ya serikali na kuamua kuandamana kudai haki yao pasipo mapigano ya raia kwa raia je! Inaweza kusemwa ni uvunjifu wa amani?
Katiba...
Ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja huviwezi. Makuti ni yaleyale... mikono ni ileile...ila kinachokosekana ni ubunifu kwenye kazi tunazofanya. Unadhani ukifanya kazi yako kwa viwango vinavyotakiwa...
...Tanzania inayumba kiuchumi, kijamii na kisiasa! Hakuna shaka yoyote kwamba, kama gari, basi dereva anayeliendesha ni "mwanagenzi" na mwenye "leseni" ya "learner" inayomfanya afanye majaribio...
Nimeanagalia Taarifa ya habari saa 2:00 usiku na kushangazwa sana na kauli ya ERASTO TUMBO WA CHADEMA kwamba Mkuu wa mkoa wa Mbeya ABASS KANDORO hana sifa za kuwa Mkuu wa mkoa kwa sababu tu ya...
Suala lililotokea mbeya siku mbili zilizopita ni kitu hatari sana ambalo viongozi wetu tulionao naona kama wanafanyakazi kwa mazoea tuuu. Yaani nitaamka dereva atakuja kunichukua nitaenda ofisini...
sijaona nia ya kweli ya kupata katiba halisi ya mwananchi zaidi ya wanasiasa uchwara wa kitanzania kutetea maslahi yao.. wao ni tume huru na mamlaka ya raisi kutwa nzima.. kamwe wananchi wanyonge...
MWENYEKITI Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amepandishwa kizimbani katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Arusha kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria na kukaidi amri ya jeshi la polisi...
SUALA la maslahi ya wabunge jana liliibuka tena wakati wabunge walipokutana kupewa maelekezo kuhusu mkutano wa tano, huku wabunge wa CCM na wale wa upinzani wakionekana kuwa na kauli moja ya kudai...
Kwa wanajamii wenzangu.
Naamini wote mnajua vema siasa za nchi yetu.
CCM ina zaidi ya miaka 40 madarakani. Je! kuna faraja/tumaini lolote wamelipata WATANZANIA ,KIUCHUMI au KIJAMII.
CHADEMA ina...
na Betty Kangonga
MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), amesema kuwa yuko tayari kujiuzulu nafasi ya ubunge na uanachama iwapo mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila...
Mkuu wa mkoa Arusha Ndg Magesa Malongo leo amekwaa kisiki baada ya kuendeleza propaganda za CCM kwa kigezo cha amani na maendeleo ambapo madiwani hao walisusia kikao hicho na kutoka nje. Wakiwa na...
Ndugu Zangu:
Mwanasiasa Zitto Zuberi Kabwe anaandika; Kama kuna jambo moja ambalo huunganisha Taifa ni KATIBA ya taifa hilo. Katiba huweka misingi mikuu ya nchi na namna ya kujenga na...
Juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi. Wakaitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.