CHADEMA waigeni CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA waigeni CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Nov 12, 2011.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi. Wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia.

  Ndipo ninapowakumbuka CUF wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kwakuwa ni mpenzi na mwanachama wa CUF una kila sababu ya kuwapigia debe. Chadema ni chama tofauti na cuf na haiwezi kujifunza mbinu yoyote ya kisiasa toka cuf sana sana cuf ndio tunawataka wajifunze toka chadema kama wanataka kujinasua na ndoa ya mkeka waliyofunga na magamba.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Vipi umeshapika? Siku hizi talaka nje nje.
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yani kiongozi kama huyo anajificha kama gadafi? Unajua huyu mzee bora akapumzike sasa, huu umri sio wa purukushani tena. Kila siku zinavyo kwenda anazidi kujishushia hadhi yake. Ni bora awaachie vichaa kama kina Lema.
   
 5. j

  janja pwani Senior Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF na Chadema ni tofauti sana. CUF ina mtandao wa matawi na wanachama wake wapo matawi wakati Chadema wanachama wake wapo makanisani hawawezi kufanikiwa mpaka wapate support ya maaskofu hili ndio tatizo la CDM.
   
 6. w

  woyowoyo Senior Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la cdm wanakurupukia mambo wanaitisha maandamano lakini hawana mkakati wa kuyafanikisha,
   
 7. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa chadema ukabila na udini ndio unawasumbua.
   
 8. k

  kivike Tito I Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada KAOGE,mana inaonekana unakurupuka,cdm ever
   
 9. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  we utaiga kwa wajinga!
   
 10. S

  S.I.A Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cuf ni kweli mnaweza recodi zenu zinafahamika, tunawaomba cdm ambao ni ccm ( c ) wajifunze kutoka kwenu waache tamaa hawawezi kufanikiwa kama, wanashindwa hata kufanya kazi na vyama vingine,hivi wataweza kuiongoza TZ yenye watu wenye dini tofauti kabila tofauti, au ndio itakua serikali ya wachaga watupu na wakatoliki watupu. ushauri mafanikio ya watanzania yanahitaji umoja mctudanganye.
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Onamwaga pumbu tu hapa. CuF kwa sasa ni kama mwanamke ajuza hawana mbele wala nyuma wamebaki kuwatumikia mabwana zao.!
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,616
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Waige kuwekwa kinyumba na magamba?
   
 13. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walipokuwa wanafanya kama wafanyavyo Chadema sasa, CUF walikuwa chama kikuu cha Upinzani hapa nchi, walipobadilika na kuwa kama walivyo sasa, CUF wamekuwa level moja na TLP. Je Unataka na CDM nao wawaige CUF ili waje kuwa level ya TLP!
   
 14. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nilijua tuu kuwa cuf amuwezi mikikimikiki ya ubishi wa maswala yoyote ya siasa bila kuingiza udini.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  CUF ni CCM B
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Islamic jihad CUF
   
 17. m

  mdudu.duduz Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HIVI CUF IPO???MIMI SIJUI KAMA BARA KUNA CHAMA KINAITWA CUF,HUNA LA MAANA WEWE MTOA HOJA CHADEMA NI CHAMA CHENYE AKILI,HAKINA WANA ZUONI WASIOJUA KUFIKIRI LAKINI CCMB IMEJAA WANAZUONI AKILIZAO SIKU ZOTE zimejaa mawazo mgando ya udini na hakuna watu wenye udini inchi hii kama ccmb na ccm,nenda halafu hawapendani kaangalie maendeleo ,lindi,mtwara.zanzibar ni njaa tupu na kulalama ooh tunaonewa,hata shule hamjengi someni uanazuoni muone njaa itakavyowaua hata shule amtaki,basi wanazuoni mnaoichafua cdm na magamba yenu,acheni udini chagueni mtu makini sio kwasababu ni mwanazuoni au uko nae mandrasa,chagueni watu makini kama dk slaa,zito kabwe kamanda mbowe,na shupavu lisu,ona hivyo vichwa sio kama mzee madevu sharrish kapata ulaji kaatulia na sasa anataka posho ya uzeeni iongezwe mwanazuoni wenu huyo namshangaa naye mtatiro kaamua kupotea huko,aaahi kalizika na ulajhi wa naibu katibu,ccmb na ccm a,, acheni gia za kipumbavu na udini wenu,na wewe gamba kama huna hoja usiingie humu.
   
 18. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,105
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mleta mada umekosa la kuongea ww,unataka kulinganisha nyie CCM B na chama la wanaume wa ukweli CDM? Cuf mmendelea kufa kabisa huku Bara
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,616
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  CUF Upemba na Uislamu ndiyo unaowamaliza.
   
 20. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hv mwenyekiti wa CUF anaitwa nan?coz wameungana na ccm..
   
Loading...