Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefadhaika kidogo niliposikia kuwa katibu wangu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye kuwa Chadema inatesa watanzania. Samahani na nipo tayari kusahihishwa. kwangu naamini kuwa CCM ndo wametesa na...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
JF members Nimeisikia hii habari via TBC1 magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Mi nadhani kuna haja kubwa ya kufanyika tafiti za uhakika kuhusu madhara yanayosababishwa au yatakayosababiswa kwa wananchi kutokana na mabomu ya machozi hasa kwenye suala zima la Afya. Askari...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu, It is always seems impossible until it is done- Anasema Nelson Mandela. Kwa lugha nyingine, Mzee Mandela anaamanisha hakuna lisilowezekana kwa maana zote, njema na ovu. Na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Helow mtanzania mwenzangu, mwenye uchungu na hali ya maisha ilivyo sas vuta taswira na kumbukumbu na angalia vijana kwa wakinamama wanaojitafutia kipato chao kwa mahangaiko lakini serikali...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
JAMANI WABUNGE WA TZ; Kwa niaba ya Watanzania na hatima ya nchi yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo, TUNAWAOMBENI SANA huo muswada wa KATIBA MPYA msikubali isomwe kwa mara ya pili na kupitishwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tbc wamerusha japo ime editiwa semina ya wabunge juu ya katiba. Wazungumzaji wameeleza umuhimu wa ushirikishwaji wa wananchi kwenye katiba. Iko tbc sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TBC- 1: Prof.Palamagamba John Kabudi, Mtaalamu wa sheria za Katiba, Mazingira na Sheria za Kimataifa akiwapiga msasa wabunge. PROF KABUDI; SOTE TUTAKUFA LAKINI TANZANIA ITABAKIA: SEMINA YA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam wanaJF! Inafahamika kwamba, ili nyumba iwe imara na itakayodumu kwa muda mrefu ni lazima msingi wake uwe imara pia. Inamaanisha kwamba, msingi ukiwa mbovu basi nyumba hiyo haitodumu kamwe...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Written by musmyl // 11/11/2011 // Matangazo // 22 Comments Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makala hii imetoka katika gazeti Raia mwema Msomaji Raia WIKI iliyopita, Mzee Samuel Sitta ambaye ni Mbunge wa Urambo na Waziri katika serikali yetu, aliongea kupitia televisheni ya ITV...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Machafuko kila sehemu ya nchi, tena tunaambiwa maandamano makubwa yanakuja. Kwanini Kikwete asijiuzulu kabla hakijamkuta kilichomkuta Gaddafi? Hata moto mkubwa ulianza na cheche.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza viongozi wa wilaya mpya wa WANGING'OMBE mkoa mpya wa Njombe kuondoa MVUTANO wa makao makuu ya wilaya hiyo ambapo na kuwa Kama watashindwa kuafikiana Kati ya Kata ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imethibitika kwa mara nyingine tena ndani ya jiji la Mbeya kuwa kumbe Magamba na polisi ndo chanzo cha vurugu nchini. Baada ya risasi na mabomu kushindwa, Magamba wakagundua njia pekee ni kutumia...
7 Reactions
74 Replies
8K Views
wadau huyu mbunge hata hajaapishwa toka uchaguzi uishe yupo kitandani ni mgonjwa sana hivyo hatuna mwakilishi jimboni kwetu,je selikari inaonaje kama tukifanya uchaguzi mwingine tutafute...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndg zangu mliokua mnafuatilia mdahalo wa katiba, mmemshuhudia D.Kibamba akitangaza maanadamano makubwa kama kesho muswaada wa katiba utasomwa kwa mara ya pili bungeni. my take: je serikali...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani naombeni sana kama mtu anayo au anajua namna ya kuipata email address ya deputy secretary wa UN Bi Asha Migiro ili tumfikishie ujumbe huu hapa chini ili ajionee mwenyewe human right...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeangalia tv, nimeona mdahalo wenye maazimio mazuri sana kwa future ya tanzania. Naomba mwenye kuwajua vizuri anisaidie
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Saturday, 12 November 2011 21:06 Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Wilbroad Slaa VIONGOZI WA DINI WAONYA, WATAKATA MWAFAKA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom