Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Alfred Lucas - Imechapwa 02 November 2011 MKUTANO ulioitishwa na viongozi wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi Jumatatu kama jitihada za kutafuta ufumbuzi wa mgawanyiko mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanasiasa feki hawafanyi siasa; wanafanya ‘dili’ kupata vyeo vya kufanyia ‘dili’ Jenerali Ulimwengu KATIKA makala ya wiki jana nilieleza kwamba ‘wanasiasa’ waliomo ndani ya chama-tawala hawafanyi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana Jf, Hawa viongozi utawakumbuka kwa lipi? 1. J.K. Nyerere; -nitamkumbuka kwa kuachia umoja wa Watanzania -kututunzia rasilimali zetu hasa madini,nk. -kuona thamani ya Watanzania na kuishi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbeya wajitangaza nchi na Sugu ndio rais wao!
16 Reactions
129 Replies
16K Views
Jana Mbunge wa Mbalali alihukumiwa kifungo cha miezi kumi jela au kulipa faini ya Tsh500,000. alichagua kulipa faini na kuachiwa huru. Kisheria kutendo cha kulipa faini ni equivalent na kifungo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sat, Nov 12th, 2011 Sat, Nov 12th, 2011| Tanzania Mbeya regional commissioner, Abbas Kandoro Fracas erupted in Mbeya City yesterday as the small traders commonly known as ‘Machingas'...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Kumekuwa na kawaida Katibu wa wabunge wa CCM kuitisha kikao cha dharula kila unapotokea mjadala mkali bungeni wa kuelekea kupinga hoja inayoletwa na serikali Bungeni. Matokeo ya kikao hicho ni...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Katiba au constitution kwa lugha ya kiingereza ni Muongozo ambao taifa lolote limejiwekea jinsi ya kuendesha shughuli za kila siku za taifa lao. Katiba yeyote lazima iwe na malengo ya...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
hi all, wakati mapokezi ya mbunge wa ccm igunga dr kafumu yakidorora yakifanyikia ndani ya kumbi za makao makuu ccm taifa pale dodoma (yasingeweza kufanyika katika open ground), aliyekuwa mgombea...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Is there a job description of a government minister in Tanzania? Is a minister a political figure, a technocrat, an administrator or just a figure head (symbolic position)? Is it necessary for a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasiasa siku zote wanasema mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mwingine. Kwa mantiki hii ukiangushwa unajipanga kutetea nafasi yako katika uchaguzi utakaofuata. Tumeanza kushuhudia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali mkoani Shinyanga jana imetimiza azima yake ya kwenda Makao wilayani Meatu kuwafukuza kwa NGUVU (kama kawaida yake) kaya zaidi ya 600 kama ilivyotangaza. Huwezi amini, gari za polisi zaidi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
THURSDAY, 10 NOVEMBER 2011 13:53 UHURUNEWSROOM MAMLAKA ya Mji Mkongwe, Zanzibar, imebomoa ghorofa la kigogo katika eneo la Malindi, baada ya kukiuka maelekezo yaliyotolewa katika kibali cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
Msikkilize Prof. Shivji Star Tv. anauchambua mswada wa katiba mpya
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii nimeipata katika WANABIDII GOOGLE GROUP nikaona ni vyema niilete huku tushee na kupanuana mawazo kwa wale wasiotembelea hiyo group na kuweza kuchangia pia! BABA ANAYETAFUTA HESHIMA; HUJENGA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikiliza taarifa ya saa 2 TBC 1, maafisa wa IMF walikuwa na mazungumzo na maafisa wa BOT wakatangaza kwamba serikali imeishiwa. Mapato ya ndani ukichanganya na fedha za nje ni ndogo kuliko...
21 Reactions
397 Replies
31K Views
Wakuu leo tarehe 12 / 11 / 2011 Rais wa JMT Mheshimiwa J Kikwete anatarajiwa kuzindua chanjo kwa watoto chini ya miaka mitano.Chanjo hiyo itahusisha magonjwa ya Polio,Surua,Vitamini A na dawa za...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Mheshimiwa Nape Nnauye aliandamana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Nd Liu wakitoa heshima zao kwenye mnara wa kumbukumbu za mafundi wa Kichina waliokufa wakati wa ujenzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom