Mkuu wa Mkoa Arusha akwaa kisiki kwa madiwani wa CHADEMA leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Mkoa Arusha akwaa kisiki kwa madiwani wa CHADEMA leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Nov 11, 2011.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa mkoa Arusha Ndg Magesa Malongo leo amekwaa kisiki baada ya kuendeleza propaganda za CCM kwa kigezo cha amani na maendeleo ambapo madiwani hao walisusia kikao hicho na kutoka nje. Wakiwa na jabza kutokana na kitendo hicho madiwani hao wameapa kutohudhuria mikutano yake yote ataifanya kuendeleza longo longo zake.
  Source ITV Habari 22:00.
  My Take;
  Nadhani madiwani hao wa CDM wamethibitisha kile alichokisema Ndg Joshua katika mkutano kule NMC juu ya mkoa huu kutumika kisiasa zaidi na kusahau kuwatumikia wananchi wote bila kujali itikadi. Nadhani kwa mtindo anaokwenda nao Magesa Malongo ipo siku moja Arusha itachafuka zaidi ya inavyofikiriwa.
  Hebu msikilize Joshua alivyomtumia salamu RC huyo mpya kupitia thread hii link;

  http://www.youtube.com/watch?v=9cWzMl8CftQv
  Hiyo ndiyo hali ya Arusha,
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Ameapa atafunga mtu yeyote atakayechea Arusha
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  akamfunge kwanza mamake mshenzi sana jamaa
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi nilivyowaona wale madiwani kupitia luninga kwa kweli inaonekana walikuwa wamekerwa sana na mkuu huo wa mkoa.
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Halafu ni chali kabisa, nashangaa jinsi anavyo behave.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I wish i had seen this bulletin!
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hhaaaa haaaaa ndio ujuha wa JK kuweka washikaji zake.
   
 8. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ....huyu mpumbavu si alikuwa Dc bagamoyo na rafiki mkubwa wa VDG wakipelekana kwa sangoma kila weekend. Kapelekwa kule makusudi, lakini ataula wa chuya...AR sio vilaya km wale wazee wa mabusha..!! Hana hata shule yoyote ya maana, mtu wa tunguli tuuu..
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yamewashinda huko kwenye uongozi wa nchi yanakalia arusha na kufanya watu kuwa popular..
  au ndio stress za kuvunja muungano..
   
 10. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  MWINYI ALIKULA KIBAO! Lakini huyusela atakula NAKO KWANI rchuga ni manako! Ohooo!
   
 11. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280

  Tunafahamu sababu za huyu chizi kuhamishiwa hapa Arusha ili aweze kutekeleza mchezo wa mafisa wake waliomweka madarakani, atamfunga nani, tokea lini ameanza kazi ya kufunga watu, hapa A-town atapata habari yake tu!!!!!!!!
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu funguka kumbe ndiyo password la file lake lilivyo, basi hafai kabisa. Huko Arusha hakuna mambo hayo nadhani tunguli yake ndiyo imeletwa ili ifie huko.
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si kajisahau yeye mwenyewe RC yeye mwenyewe mahakama, yaani haeleweki. Nadhani ameshindwa kuelewa mwisho wa majukumu yake.
   
 14. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kweli jamaa ni mshenzi sana!
   
 15. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kuona serikali ya kishikaji angalia RC na DC wengi walioteuliwa na JK mara baada ya kuiingia madarakani ni washikaji zake ,either kwa namna moja ama nyingine wanauhusiano fulani.
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona stress za serikali kufilisika, sasa anajiuliza pa kwenda kuhemea lol.
   
 17. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  huyo ni kenge tu!
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mshamba sana huyu magesa...
   
 19. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hana lolote huyo! anatishia watu wazima nyau! ngoja nguvu ya umma imshukie....tunasubiri tamko la mbowe kuhusu maneno aliyotamka.....
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Makelele mengi yeye anaona ndiyo mrejesho nyuma mzuri kwa viongozi wake kumbe anazidi kuiharibia kabisa CCM na serikali yake.
   
Loading...