Tanzania Bureau Standard [TBS] must be happy for 43,000 death of our children | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Bureau Standard [TBS] must be happy for 43,000 death of our children

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Thomas David, Jul 19, 2010.

 1. T

  Thomas David Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Yes, they are happy, if not, they could have already set up the fortification standards.
  124 days past since TBS promised to set fortification standards!

  Over the past decade over 600,000 children aged below 5 years are estimated to have died as a result of malnutrition in Tanzania. This year another 43,000 children will die prematurely because they are malnourished.

  For more information read
  here
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  haya siyo baadhi ya matangazo ya biashara ya NGO kutafuta fund nje. wakipata fund 90% ya resources( magari, wafanyakazi, ofisi kazi, etc) zinatumika dar na mijini.
   
 3. T

  Thomas David Member

  #3
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unga wa Ngano unaouzwa Tanzania na kampuni ya Bakhresa (na wengine) is not fortified (kikwazo=TBS)

  Sharti mojawapo ili kampuni ya Bhakresa iuze bidhaa zake nchi za Afrika Mashariki na kati, ni lazima ziwe fortified, bila hivyo haziwezi kuingia katika nchi hizo.

  Je?

  Hayo ni matangazo ya biashara ya NGO?

  Hii document iko kwenye public domain, inavyoonekana ni tafiti, na kama ni kweli ni lini TBS itawaonea huruma hizi familia ambazo zinapoteza nguvu kazi ya taifa kila mwaka angali wakiwa wadogo?

  Nchi zote za majirani wameweza, kwanini Tanzania inashindwa kuongeza virutubisho katika unga wa ngano na mahindi kuepukana na vifo hivyo?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Thomas Najua bongo tuna decripancie nyingi na sio kama sikubaliani na hii hoja. lakini ukiangalia hizi NGO nyingi hazifanyi tafiti zenyewe. Zinachukua takwimu na kuzichezea on their favour.
  NGO nyingi zina mis interprate takwimu.

  Mfano tunaoofaitishaje vifo kwa watoto waliokufa kwa malaria na wale waliokufa kwa malaria kutokana na utapiamlo.? Usishangae wamefanya assumption

  Sijui unga wa ngano kutokuwa na virutubisho ni chanzo. Kwanza bidhaa yoyote ya chakula ina wigo wa mtumizi ya umri. Inaa mama mzazi akiwa anamywesha mtoto wake oda ya fanta au coca cola kila siku nani wa kulaumiwa? Je ni Coca cola sababu hawaweki virutubisho kwa ajili ya watoto au ni mzazi kutokuwa na elimu sahihi ya chakula gani ampatie mwanae. Nadhani tatizo haa la mingi la utapiamlo io product zilizoko masokoni. Tatizo kubw ani ignorance ya wazazi kutojuoa nutrition ipi inafaa na tatizo lingine inaweza kuwa umasikini wa kutowekza kumudu bidhaa zilizoko sokoni. Mtoto kama anapelekwa clinic wazazi wanaambiwa chakula gani apewe, wototo wanapimwa.
   
 5. T

  Thomas David Member

  #5
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waheshimiwa wanafahamu (wahusika wote) kuhusu vifo vinavyosababishwa na utapia mlo.Vifo hivi vinawahusisha watu maskini sana katika maeneo ya vijijini ndio maana hazibang kwenye vichwa vya habari.Hizi takwimu ziliwasilishwa na nadhani katika mojawapo ya mikutano iliyofanyika pale ofisi za World Bank na hawa ndugu wa serikali walikuwepo.

  Walitoa ahadi kwamba hizi standard zingewekwa.

  Sio tu kwenye unga wa ngano bali hata mahindi ambao ndio chakula kikuu cha watanzania.


  Kama hili litasaidia kuokoa maisha ya watoto hawa, why wait?Ndio maana nimethubutu kusema hawa ndugu wanafurahia hivi vifo?
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160


  Of course they do! without it hawana employment. UNHCR waliwahi kushutumiwa kuwa wanachochea vurugu Rwanda ili wakimbizi waendelee kuwepo Tz ili kutunza ajira zao.

  Hizi NGO zilizojazana africa zina impact gani kwa ndugu yako aliyeko kijijini. They are new form of colonialists
   
 7. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  I second you mtazamaji, nadhani hapa tatizo sio virutubisho kuwekwa kwenye vyakula hivyo, tatizo kubwa linaweza kuwa ni kama alivyoainisha mtazamaji, uwezo wa kununua bidhaa/vyakula hivyo na elimu ndogo juu ya lishe kwa wazazi ( na hapa I mean both parents, father and mother). Wazazi siku zote huelekezwa kuwapa watoto wao mfano uji wa unga wa lishe lakini ni wangapi wanauwezo wa kununua unga huo? au hata ule unaotengenezwa locally, ni wangapi wanauwezo wa kununua ingredients zake? Tukiacha hilo ni kwa kiwango gani elimu juu ya lishe bora kwa watoto imewafikia wazazi? kuna mwaka nilitembelea kijiji kimoja Iringa maeneo ya Ilula, nilishangaa sana mama mmoja alimpa mtoto mdogo pombe aina ya ulanzi ili mtoto anyamaze maana alikuwa akilia, na ukweli ni kuwa yule mtoto alionekana ni dhaifu sasa hapa huwezi sema kosa ni kutokuwa na virutubisho kwenye unga, ni ignorance tu ya yule mzazi. Na mwisho I would like to put a challenge to male parents, how many males always attend a clinic with their wives to learn their child development?
   
 8. b

  buliba Member

  #8
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3


  Kaka mie nafikiri you are applying the wrong judgement kwenye NGO. Hoja hapa sio NGO ni tatizo la utapiamlo. Just imagine, hizo NGO unazoponda zote zikijiondoa hapa Tz hali itakuaje?

  Watu wana-discuss serious subject we unaponda! Kwa njia hii watanzania tutaendelea kukaliwa kichwani. Utapiamlo ni tatizo kweli hasa katika baadhi ya familia vijijini. Hizi taasisi za umma zimeundwa kwa ajili ya Watanzania. Kama hazifanyi kazi sawasawa lazima zikosolewe.
   
 9. M

  Mangolo Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pamoja na hoja zote miye naomba waheshimiwa fomula ya kutengeneza Unga wa lishe kwa watoto wadogo
  NATAMANI SANA KUTENGENEZA ILA FOMULA
   
Loading...