Viongozi wa chadema wanapotoa kauli za kutaka kuwafurahisha mbowe na slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa chadema wanapotoa kauli za kutaka kuwafurahisha mbowe na slaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 12, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nimeanagalia Taarifa ya habari saa 2:00 usiku na kushangazwa sana na kauli ya ERASTO TUMBO WA CHADEMA kwamba Mkuu wa mkoa wa Mbeya ABASS KANDORO hana sifa za kuwa Mkuu wa mkoa kwa sababu tu ya vurugu za wafanyabiashara ndogondogo, vurugu ambazo ni wazi kabisa zilichochewa na Mbunge wa Mbeya Mjini , SUGU pale alipowahutubia wananchi na kuwaambia wasitii amri ya POLISI.

  Nina wasiwasi na kauli za baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwemo ERASTO, WILFRED LWAKATARE na SUGU kama zinakuwa ni kwa maslahi ya Taifa au wanakuwa na lengo la kumfurahisha mkuu wao ili kulinda ajira zao au ni kutaka umaarufu.

  Najiuliza sana , hivi kwa nini Majimbo ya Chadema yenye vurugu ni Arusha, Mbeya na Mwanza? Je ni kwa sababu wabunge wake wana uchungu sana na watu wao kuliko wengine? au ni kwa sababu ya wabunge wao kuwa VILAZA na hiyo kuwa njia pekee ya kuwaaminisha viongozi wao kitaifa kuwa wanaweza? Mbona Ubungo, Rombo, Kawe, Kigoma Kaskazini na kwingine ni Wabunge wake wanatoka CDMA ila hakuna mambo hayo?

  Bado nasisitiza , nina wasiwasi na uwezo wa LEMA, SUGU na WENJE. Lakini historia ya walikotoka na walichokuwa wakikifanya kabla hawajawa Waheshimiwa inawabeba na kuwahalalisha na vurugu za kijinga na kitoto.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  .........Nenda kapime kisonono...!!!!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wamfurahishe mbowe kwani kawachagua yeye..watu wanaangalia manufaa ya wapiga kura wao
   
 4. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Je unajua historia ya majimbo yote hayo uliyoyataja? unajua shughuli za kiuchumi zinazoendeshwa? unajua hali ya watu wake? kama unajua+ na uongozi mbovu unaoendelea unaonekana kama ni kisasi kwa wananchi waliyochagua upinzani then weka jibu hapa=
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  usiku huu nenda kaungane na wenzako mkaimbe taarabu

  huu ni uchafu wala siyo analysis
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  UDSM1.jpg

  polisi wakivunja haki za wanawake kwa kuifurahisha ccm, polisi 9 zidi ya mwanamke mmoja
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  USHAURI: Badala ya kuweka alama ya KUULIZA (??) weka alama ya MSHANGAO (!!) kwenye title yako mkuu!
   
 8. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  History has it that all seemingly violent constituencies are led by illiterate MPs. Sugu, in particular, dropped out at Form Three as he was enticed to join music for the sake of grabbing quick money. It's now very clear that his victory as Mbeya MP was much contributed by his popularity as a hip-hopist and not ability to lead. You can tell a difference between an ignoramus and a learned MP by comparing Sugu with Zitto.
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,077
  Likes Received: 10,435
  Trophy Points: 280
  Zile dawa zako za kutuliza kichaa umeshameza??
   
 10. m

  mwakunakajoja Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutolee pumba hapa! Kojoa ulale!
   
 11. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ninachangia kwa sababu ulivyo masaburi hata Nape akikueleza akiwa uchi huelewi. Ujue kuwa hayo unayotaka tukuelewe hayataeleweka kamwe hata wikija mitume
   
 12. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  If you are literate at all, tell me how can Sugu the "illiterate" manage to quell the skirmish in Mbeya where the rest of the Mbeya Govt rulers failed? My answer is that you and the Mbeya rulers are illiterate, ignorant, demented and out of touch with reality.
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  bakwata hawajatoa tamko?
   
 14. n

  nrango Senior Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi juu ya uwezo wako wa kufikiri,nani alikwambia kutetea haki ni kuwatetea viongozi wa chadema.Haki ni za watanzania wote sio za mbowe na slaa.
   
 15. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sababu huyo mwanamke si mwislam ndo tamko halijatoka ila ni kwa sababu policcm wamefanya hivyo hata haki za binadamu hutawasikia.
  Policcm ni Wanyama si watu kudhalilisha mwanamke namna hiyo.
   
 16. I-NGOSHA

  I-NGOSHA Senior Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  ubongo wako unafikilia kinyumenyume!
   
 17. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sasa huyu nikimtukana modes watanipiga ban kweli! magamba kama huyu anakurupuka tu ka kabanwa na tumbo la kuhara na kupost upuuzi kama huu! masaburi wew nenda kwa bosi wako huko akakucameruni....
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ndo tatizo la kutoroka milembe kabla haujaruhusiwa na DR. Rudi ukamilizIe dozi
   
 19. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You must respect the will of the people. You have no right whatsoever to judge their decisions. What can you say about Maji Marefu, a witch doctor whose academic qualification is a mere standard seven and yet the people elected him as their MP? Shame on you who always wouldn't use brains to argue things of substance. Stop your hypocrisy, focus on issues!
   
 20. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Well said buddy!
   
Loading...