Mtanzania anahitaji tumaini, je tumaini liko wapi?

BJEVI

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,359
251
Kwa wanajamii wenzangu.

Naamini wote mnajua vema siasa za nchi yetu.
CCM ina zaidi ya miaka 40 madarakani. Je! kuna faraja/tumaini lolote wamelipata WATANZANIA ,KIUCHUMI au KIJAMII.
CHADEMA ina muda mfupi TANZANIA.Imeonesha njia kwa kiasi fulani hasa kwenye suala la kupambana na ufisadi mfano EPA n.k hii ni hatua ingawa sijui kama ina matumaini au la.
CUF ina muda mfupi TANZANIA-Haijaonyesha kuwa serious sana kwenye masuala yanayogusa jamii hasa TANZANIA BARA....sina uhakika kama wako kwenye mchakato wa kuwapa tumaini lolote watanzania,mtanisaidia......
NCCR MAGEUZI..Inaoekana kuwepo kimaslahi zaidi,sijui watanzania wategemee nini kutoka kwao.mtanisaidia pia.

Jamani kama unahitajika kutoa ushauri wa kitabibu kwa mtanzania wa leo hii hasa kwenye masuala ya mabadiliko ya kiuchumi n.k.Ni nani atampa TUMAINI.CCM,CHADEMA,CUF,NCCR .Kuna vingine ila tuanze na hawa 4........

NAWASILISHA.
 
Tumaini halipatikani ndani ya Chama chochote ..zaida ya Ukamilifu wa UTU na UBINADAMU wako ....ambao ni jukumu la MTU mweneywe ambaye hatimaye akitka atajenga CHAMA!! Ungehoji CHAMA gani kati ya hivyo ..Kinaendeshwa kwa misingi ya Ubinaadamu na Utu wa Mtanzania....!
 
Tumaini halitaletwa na vyama bali siasa safi, uadilifu kwa taifa letu. Nani kati yetu ana uhakika kwa asilimia 100 kwamba Chadema wakishika dola au wakishikishwa kwenye madaraka watakuwa kama tunavyowaona sasa. Nani alitegemea CUF watakuwa vile zanzibar? Tuchambue sera badala ya vyama na hapo tunaweza kukuta kuna mambo tunachota kutoka chama chochote kutegemeana na suala husika.
 
paukwa pakawa, unajadili vyama badala ya taifa. Hakuna chama ambacho kinaweza kuwa kibaya moja kwa moja, kila chama kina mazuri na mabaya yake.
 
kama tutatengeneza jedwari la mazuri na mabaya ya kila chama tutakutana na mengi. tuombee taifa kuliko kushabikia vyama peke yake
 
Muda hauna nafasi kwenye maslahi yetu ama ni mrefu au mfupi. vipo vyama vya upinzani navyo vimekaa muda mrefu kuliko hata chadema lakini ni vya hovyo na sera mbovu kuliko hata CCM, Kuwa kwenye ndoa muda mrefu na kuwa kwenye ndoa muda mfupi hakuhalalishi uzuri wa tabia ya wanandoa.
 
Kwa wanajamii wenzangu.

Naamini wote mnajua vema siasa za nchi yetu.
CCM ina zaidi ya miaka 40 madarakani. Je! kuna faraja/tumaini lolote wamelipata WATANZANIA ,KIUCHUMI au KIJAMII.
CHADEMA ina muda mfupi TANZANIA.Imeonesha njia kwa kiasi fulani hasa kwenye suala la kupambana na ufisadi mfano EPA n.k hii ni hatua ingawa sijui kama ina matumaini au la.
CUF ina muda mfupi TANZANIA-Haijaonyesha kuwa serious sana kwenye masuala yanayogusa jamii hasa TANZANIA BARA....sina uhakika kama wako kwenye mchakato wa kuwapa tumaini lolote watanzania,mtanisaidia......
NCCR MAGEUZI..Inaoekana kuwepo kimaslahi zaidi,sijui watanzania wategemee nini kutoka kwao.mtanisaidia pia.

Jamani kama unahitajika kutoa ushauri wa kitabibu kwa mtanzania wa leo hii hasa kwenye masuala ya mabadiliko ya kiuchumi n.k.Ni nani atampa TUMAINI.CCM,CHADEMA,CUF,NCCR .Kuna vingine ila tuanze na hawa 4........

NAWASILISHA.

Hoja yako iko wazi tumaini lako liko kwa chadema ila unatupima na sisi kama tuko upande wako
 
Nadhani uzalendo ndo iwekwe kipao mbele ktk vyama vetu vya siasa na umimi yaani ubinafsi uwekwe kando, na kuiendesha nchi yetu kwa umoja ndio chanzo pekee cha maendeleo na kurudisha matumaini kwa watanzania hasa vijana waliokata tamaa
 
ama kweli sikio la kufa halisikii dawa

Kwa kuwa Wabara hatoki chama chako unafikiri anahitaji dawa hapana ni tofauti ya itikadi ila wewe ndiye hutaki siasa za vyama vingi. Hakuna nchi duniani ambayo wananchi wake ni wa chama kimoja kama mfumo wa vyama vingi upo lakini wengine pia hawana vyama
 
Kwa wanajamii wenzangu.

Naamini wote mnajua vema siasa za nchi yetu.
CCM ina zaidi ya miaka 40 madarakani. Je! kuna faraja/tumaini lolote wamelipata WATANZANIA ,KIUCHUMI au KIJAMII.
CHADEMA ina muda mfupi TANZANIA.Imeonesha njia kwa kiasi fulani hasa kwenye suala la kupambana na ufisadi mfano EPA n.k hii ni hatua
ingawa sijui kama ina matumaini au la.
CUF ina muda mfupi TANZANIA-Haijaonyesha kuwa serious sana kwenye masuala yanayogusa jamii hasa TANZANIA BARA....sina uhakika kama wako kwenye mchakato wa kuwapa tumaini lolote watanzania,mtanisaidia......
NCCR MAGEUZI..Inaoekana kuwepo kimaslahi zaidi,sijui watanzania wategemee nini kutoka kwao.mtanisaidia pia.

Jamani kama unahitajika kutoa ushauri wa kitabibu kwa mtanzania wa leo hii hasa kwenye masuala ya mabadiliko ya kiuchumi n.k.Ni nani atampa TUMAINI.CCM,CHADEMA,CUF,NCCR .Kuna vingine ila tuanze na hawa 4........

NAWASILISHA.
... maslahi, ndio, masilahi ya taifa.
 
Back
Top Bottom