Ccm na chadema watuliza maafa mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na chadema watuliza maafa mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 13, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CCM na CHADEMA Arusha na Mwanza mmejifunza nini kutoka mbeya.

  Meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CCM na CHADEMA mkoani mbeya imefanikiwa kuleta muafaka. Mikoa ya Arusha na Mwanza ina fursa ya kujifunza badala ya kuvutana kila siku ili kutafuta mshindi. Kumalizika kwa ghasia mkoani mbeya ni funzo kwa mikoa ambayo chadema na CCM wanapambana bila kikomo ili kupata ushindi.
  Mbeya wamezika tofauti zao kwa ajili ya maslahi ya wananchi na Zanzibar vivyo hivyo kati ya CCM na CUF. nyinyi mnasuburi nini
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Naona upo usingizini unaota!!
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Dhibitisha unalosemaa
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwanajamii gani usiye elewa mambo wewe? Ni wazi umekurupuka kuandika bila kujua nini kinaendelea.
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  acha kutudanganya, magamba walivuruga amani! Iweje wairudishe!
   
 6. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Muongo mkubwa wewe..Hiki unachokiongea ni uongo mkubwa..Thibitisha :
  1 .Ni lini CCM na Chadema walikuwa na ugomvi mkoani Mbeya?

  2. Ni lini na wapi CCM na Chadema walikaa kikao cha muafaka mkoani Mbeya?

  3. Nini source ya hii habari uliyoiandika?

  Mimi naomba mods muwe waangalifu,hizi threads za kupotosha watu msiziruhusu kabisa.Hii thread inatakuwa iondolewe
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tapeli utamjua tu
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  anaota huyu
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Umekurupuka usingizini au mambo ya David Cameroun?
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Mi nakushauri udelete post yako haraka iwezekanavyo! Manake hurikurupuka bila kufikiri kaka.
   
 11. bmx

  bmx Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni chadema kupitia sugu ndo wameleta amani c magamba,,
   
 12. y

  yaya JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! hiyo kali Mkuu!! Awali nilidhani vurugu zilikuwa ni kati ya Machinga na serikali ya mkoa, kumbe ilikuwa ni machinga na CCM, ndiyo maana wakaitwa CDM ili kusuluhisha???!!!!
  Unajua kuna dhana mbaya vichwani mwa watu wengi, kwamba kwa sababu Mhe. Rais ametoka CCM basi Serikali yote ni ya CCM, hapana. Siyo hivyo, kwani kuna vyombo vingi tu vya dola ambavyo havitakiwi kufungamana na itikadi ya chama chochote. Lakini kwa kujipendekeza nao hujifanya ni sehemu ya chama tawala. Ndiyo maana kila kiongozi wa CCM, hujiona na kujifanya ni kiongozi wa serilkali na hutoa matamko ya kiserikali. Vivyo hivyo, viongozi wa kiserikali nao hutoa matamko ya kichama kana kwamba wapo pale kukiwakilisha chama tawala. Tuna safari ndefu sana ya uelewa.
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nani amekwambia Mbeya kulikuwa na mapambano kati ya ccm na chedema? Jaribu kutumia ubongo kabla ya kuropoka.
   
 14. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limbukeni wewe unatumika na chama cha Magamba CCM hata aibu hauna,wakati Sugu ndiyo kawatuliza wamachinga,CCM Mbeya haitakiwi kabisa,shame on you,MBEYA NCHI RAISI SUGU,
   
Loading...