Ubunifu unalipa -tazama hii

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
Ukizoea vya kunyonga, vya kuchinja huviwezi. Makuti ni yaleyale... mikono ni ileile...ila kinachokosekana ni ubunifu kwenye kazi tunazofanya. Unadhani ukifanya kazi yako kwa viwango vinavyotakiwa haitalipa? Wabongo tumezoea uchakachuaji kwenye karibu kila kitu. Natamani weng wetu tungepata fursa ya kutembelea nchi za wenzetu tujionee ubunifu wanaoufanya kwenye shughuli zao naamini mambo mengi yangebadilika.
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    19.2 KB · Views: 63
  • DSC04975.jpg
    DSC04975.jpg
    17.6 KB · Views: 56

Similar Discussions

Back
Top Bottom