Hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu mabadiliko ya katiba iliyowasilishwa na TUNDU LISSU imejaa uchochezi wenye nia ya kuvunja muungano. Naomba kunukuu.
"Kuendelea kupuuza mapendekezo haya wakati...
waziri wa katiba na sheria amesema hakuna utafiti wowote uliokwisha fanywa hapa nchi kuonyesha ni idadi gani ya watanzania wanaifahamu katiba.Je ! kama hakuna utafiti wowote,tunawezaje...
Bunge la 10,Mkutano wa 5,Kikao cha 6
Mpaka bunge linahairishwa mi sijaelewa nini kinaendelea Bungeni
Hivi ni kweli hawa wabunge wamejipa japo muda kidogo wa kukisoma walichokiongea?
Maana kila...
Updates;
Kama nilivyoahidi kuweka mahojiano baina ya Sunrise Radio na G. Lema hatimaye kwa msaada wa wadau mbali mbali nimefanikiwa kuweka mahojiano hayo;
Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya...
nimekuwa nafuatilia mjadala usio na maslahi na taifa unaendeshwa na wabunge wa CCM kwa interest ya chama chao,
kwa kuutambua mchango wako ktk harakati za kupigania haki,tunahitaji kufahamu kitu...
Wakuu,
Kuna mbunge mmoja sikumbuki vizuri jina lake nadhani anaitwa Christina ametoa mchango wake kuhusu katiba kwa kusema waziwazi kwamba muswada uliowasilishwa na serikali ni mpya na umesomwa...
Machozi yamenibubujika nilipoona kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili kwa askari wa FFU waliokuwa chuo kikuu wakimburura kijana ambaye wa kiume alikuwa anabubujikwa damu kichwani sijui kama...
nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya...
....Zikiwa zimebakia siku mbili bunge kuharishwa hakuna dalili wala taarifa za lini taarifa ya kuchunguza sakata la Jairo aliyekuwa katibu wa wizara ya nishati na madini itawekwa mezani kwa ajili...
Katika kile kinachoonyesha kuwa Zanzibar wanajazma za kiarabu, mbunge wa kwanza kuchangia hoja ya Katiba jioni hii amemtaka makamu wa pili wa Raisi Zanzibar arejeshe kifuta machozi kilichotolewa...
Wanaharakati leo BBC watakuwa na mjadala wa katiba ya Tanzania jioni..
Hebu jaribuni kubeba japo headphone zenu kama wakichukua umeme wao tusikose neno la faraja toka kwa...
Nimefurahi sana kusikia kuwa Viongozi wa Juu wa Chadema wameitisha Kikao Cha kamati kuu kujadili Masuala nyeti baada ya Wabunge wake wote kutoka ndani ya Bunge kususia Kusomwa kwa Mara ya pili...
Kwa muda mrefu kila nikifuatilia vipindi vya bunge inatokea nakutana na wabunge wa CCM wakiponda hoja za wabunge wa upinzani, kwa mtazamo wangu kuponda hoja ya mtu mwingine si tatizo ila...
Ninapendekeza katika Katiba mpya suala la Mbunge kuwa kwenye uongozi kwa vipindi zaidi ya viwili lisipewe nafasi. Mbunge ahudumie wananchi wake kwa vipindi viwili tu vya miaka mitano mitano. Na...
Napinga kabisa suala la kupongeza wanawake wanapopata fursa za juu. Tuwapongeze wanapodeliver quality service kwa umma mpana wakishashika nafasi hizo. Nasema hivyo kwa sababu ya kinachotokea...
Naomba msaada jamani.Nina changanyikiwa kuhusu utata uliopo sasa kuhusu Katiba.Kubwa lilopo mbele yetu ni Bili ya utaratibu wa kubadili katiba na sio kuandika katiba.Kinachonikera ni kuwa wadau...
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mjadala wa katiba, CDM inapata publicity ya bure kutoka kwa wana magamba, baada ya muda mfupi CCM itakuwa imepotea kwa sababu haisikiki, kila kona ya nchi ni CDM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.