CHADEMA wanataka kuvunja muungano kwa kukosa ushawishi Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wanataka kuvunja muungano kwa kukosa ushawishi Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 16, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu mabadiliko ya katiba iliyowasilishwa na TUNDU LISSU imejaa uchochezi wenye nia ya kuvunja muungano. Naomba kunukuu.

  "Kuendelea kupuuza mapendekezo haya wakati Zanzibar inavunja Katiba ya sasa ya Muungano; kuendelea kukaa kimya kwa hofu ya kuwaudhi ‘Wazanzibari' wakati wao wanajitwalia uhuru wa kujiamulia mambo yao wenyewe huku wakiendelea kushiriki katika maamuzi ya mambo ya Tanganyika yasiyokuwa ya Muungano; kuendeleza kile alichokiita Mwalimu Nyerere falsafa ya ‘changu ni changu, chako ni chetu' katika mahusiano ya Zanzibar na Tanzania Bara, ni kutulazimisha tuipinge dhana nzima ya Muungano kati ya nchi zetu mbili kitu kinachoweza kupelekea kuvunjika kwa Muungano wenyewe. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni isingependa tufike huko lakini ndoa hii ya kulazimishana haiwezi ikadumu muda mrefu kwa taratibu za aina hii".

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza, je muungano ukivunjika hii inchi itatawalika? Lakini pia si kweli kwamba CHADEMA wana lengo la kuvunja muungano kwa vile wamekosa ushawishi Zanzibar?

   
 2. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenye akili tunajua huo muungano ni kama haupo!!!.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hautunufaishi chochote ufe tuu!
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,626
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Siyo Chadema bali sisi Watanganyika tumechoka na kejeli za watu visiwani hivyi ni bora tu huu usanii unaoitwa muungano ufutwe,zipo njia nyingi tu za kushirikiana lakini siyo hiki kiini macho kinachoitwa muungano.WATANGANYIKA TUMECHOKA NA CHOKO CHOKO ZA HAO WATU. NITAFANYA SHEREHE KUBWA SIKU MUUNGANO HUU UKIVUNJIKA
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  kwani wazanzibar wana utaka muungano!?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wazenji tumewabeba mno
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,626
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Mkuu signature yako imetulia.
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wee vipi bana?

  Sasa hapo umeuliza au umejadili?

  Nashindwa kuelewa kabisa maana umeuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe na mwisho kuweka hitimisho.

  Mbona umeweka Ref. nzuri tu maneno ya Lisu? Kisichoeleweka nini? Wazenji wana "Changu ni changu, chako ni chetu."

  Kama huelewi hilo neno hapo basi kaa chini na jiulize tena na tena na mwisho utapata jibu.

  Wazenji ni mzigo kwa Tanganyika. CCM ni mzigo kwa Wazenji. CCM wanalijua hilo na wataendelea kulitumia hadi waje Chadema wapige STOP.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,626
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Hawa ni sawa na gunia la misumari halibebeki.
   
 10. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Kama ccm wanadhani wananchi wanawapenda kwa kutetea wanyonge, kwa nini hawataki kujidhihirishia kwa kuwapa wananchi kupiga kura ya maoni kusudi waamue kama wanaupenda huu Muungano? wanaogopa nini? na wengi wanaopenda huu Muungano ni baadhi tu ya Magamba, na wengi wa hao magamba wanafuata mkumbo tu
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Unaonekana hujui historia ya chokochoko za Muungano...wazanzibar hawautaki Muungano siku nyingi...na kwa taarifa yako CCM imetumia mswada huu kuwashika na kuwaziba mdomo...tazama michango yao bungeni...Na CCM ipo radhi kuwanyima haki watanzania Mil 40 ili kuulinda Muungano wenye maslahi yao..na kwa huu mswada kweli CCM wamefanikiwa maana sasa Wa-Zenji hawasemi lolote juu ya mswada huu zaidi ya kuusifia...Kusema kuwa CDM wanataka Muungano uvunjike kwa maslahi yao sidhani kama ni kweli...
   
 12. M

  Mwana UoA Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mtoa mada haelewi mambo yanavoenda basi ajitahidi kusoma wazenji wanatamani hata leo muungano ufe pia hakuna upinzani huko ccm imeuua cuf ovyo sana lipumba kimya subirini 2015 kama chadema hakitashida basi heri mati pati ifutwe
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Unaonekana hujui historia ya chokochoko za Muungano...wazanzibar hawautaki Muungano siku nyingi...na kwa taarifa yako CCM imetumia mswada huu kuwashika na kuwaziba mdomo...tazama michango yao bungeni...Na CCM ipo radhi kuwanyima haki watanzania Mil 40 ili kuulinda Muungano wenye maslahi yao..na kwa huu mswada kweli CCM wamefanikiwa maana sasa Wa-Zenji hawasemi lolote juu ya mswada huu zaidi ya kuusifia...Kusema kuwa CDM wanataka Muungano uvunjike kwa maslahi yao sidhani kama ni kweli...
   
 14. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu hili ni swali la muhimu sana... ukweli ni kwamba wazanzibar hawaupendihawautaki muungano ccm ndo wanaulazimisha,binafsi sioni faida za huu muungano,mwenye kuziona atujulishe hapa...
   
 15. m

  mob JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  zanzibar+tanganyika = Tanzania
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hawa wazenji wamezoea kuleta chokochoko za kuukataa muungano na sasa wabara ni wakati wetu wa kuwaonesha mlango wa kutokea.

  Chama chochote kikishakubalika lake zone kinaweza shinda urais bila kura ya mzanzibar
   
 17. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Nitakupa ofa ya champagne saba ili tusherekee vizuri siku hiyo
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Zanzibar ni janga kwa ustawi wa Tanzania ! Heri tuungane na comorro ama Sheli sheli
   
 19. K

  Kamarada Senior Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Na hilo ndo neno....bila kuupata huo ulioutaja ktk red, CDM itahitaji may be miaka ya Uhuru i mean 50 yrs kufanikisha dhima..

  Daima naheshimu uhuru wa kutoa mawazo...!!
   
 20. f

  firehim Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka wanzanzibar ndio walikuwa wa kwanza kupeleka pingamizi UN juu ya muungano kabla hata ya Lisu kusema hayo. Ninacho kiona sio kwamba chadema wanataka kuvunja Muungano bali wanataka ujengwe muungano unaojulikana na wenye maslahi pande zote. Ie Tanganyika+ Zanzibar=Tanzania. na sio Zanzibar=Tanzania
   
Loading...