katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM...
Nape kizimbani Arusha leo
Tuesday, 15 November 2011 20:40 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye Peter Saramba, Arusha KESI ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema...
Wakuu hebu nijuzeni vizuri kuhusu jukwaa la katiba
Nalijua jukwaa hili kwa maana ya jinsi lilivyo mstari wa mbele kuendesha mijadala na michakato ya kupata katiba mpya likiwa chini ya mwenyekiti...
Wanahistoria wanaamini 'History is Spiral' yaani historia hujirudia, wala hakuna jambo jipya kabisa juu ya ardhi. Mjadala wa Katiba huu wa sasa si mpya hata kidogo, pengine kizazi kinachoujadili...
Ndugu zangu,
Mwandishi mTanzania Shaaban Robert ni mmoja wa wanafalsafa wa kujivunia waliopata kutokea barani Afrika
Mwandishi huyu mahiri aliweza kuyaona mengi mbele ya wakati wake...
Baada ya kutokea mlipuko kwenye mitambo ya tanesco ubungo; kumekuwa na ripoti ya kukatika kwa umeme sehemu nyingi. Je kwenu umeme umerudi?nipo ubungo , hakuna umeme.
Tanzania inaelekea siko?
Kama kungekuwa na Baraza la Taifa la Katiba, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) isingekuwa ovyo!!!
Baraza la Taifa la Katiba linatakiwa liwe na wajumbe wasiofungamana...
Hivi huyu mzungu hiki kiburi chote anakitoa wapi? Hata bunge halijaiona report, yeye tayari kaonyeshwa?
Wapinzani hiyo silaha mnayo itumieni vizuri maana JK mjinga tu na yeye, inaelekea hajali...
Wabunge wa Chama cha NCCR Mageuzi wamegawanyika bungeni jioni ya leo baada ya hoja ya Mh.Tundu Lissu.
Baada ya hoja hiyo, wabunge David Kafulila wa Kigoma Kusini na Felix Mkosamali wa Muhambwe...
Mkirudi bungeni mtawasaliti watanzania...lisifanyike swala la kama lile ''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa...
Tuesday, September 15, 2011, 13:28
Rai-Makala
Kutoka wamoja au maneno ya Nyerere kutimia
Taarifa ya hali ya siasa nchini kuwasilishwa
Gamba, makundi, Igunga kujadiliwa
Na Mwandishi Wetu...
Naona anaongea tuuuu na kumfanya Nyerere kama Mungu aliyekuwa Tanzania na ambaye hakuwa na neno au baya lolote kwa Taifa hili.
Anatumia kigezo gani kumsafisha Nyerere milelle kwamba hakuwa na...
By JENERALI ULIMWENGU
The East African
Posted Monday, January 10 2011
There is a disturbing wantonness in the way our forces of law and order are wont to use force without order and with scant...
Migogoro haitakomeshwa kwa mitutu ya bunduki
Monday, 14 November 2011 20:43
Mwananchi
PICHA zilizopamba kurasa za magazeti mengi wiki iliyopita zilionyesha askari wa Jeshi la...
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
Judge Mark D. Bomani
14 November 2011
Julius Kambarage Nyerere, son of a chief of one of the smallest tribes of Tanzania, the Zanaki, of Mara Region, started...
Naombenini mwongozo kuhusu madaraka aliyonayo Raisi, nina uliza hivi kwa sababu hivi karibuni imeripotiwa katika vyombo vya habari kumekuwa na matukio ya vurugu katika mikoa ya Mbeya na Iringa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.