Wanawake ovyo bungeni

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Napinga kabisa suala la kupongeza wanawake wanapopata fursa za juu. Tuwapongeze wanapodeliver quality service kwa umma mpana wakishashika nafasi hizo. Nasema hivyo kwa sababu ya kinachotokea bungeni hivi sasa. Kama mnafuatilia bunge kwa makini, kama mnafahamu unyeti wa mswada wa Mabadiliko ya Katiba uliolazimishwa kusomwa bungeni kwa mara ya Pili badala ya mara ya Kwanza, na kama mmefuatilia na kuona mchango wa wanawake wengi tena wenye madaraka wanavyotumia nafasi zao hizo kukandamiza sauti na matakwa ya wananchi, basi utaungana nami kwamba badala ya kuwapongeza wanawake hao watatu, tujitokeze hadharani kusema wazi kuwa wanawake walioko bungeni tuliodhania watasimama kulivusha taifa, wanaliangusha taifa!
 
Akili za wanawake 2 ndio sawa na mwanamme 1 kitabu cha dini kilishabaini hayo karne nyingi zilizopita

.
Mhubiri 7:26-28. Inasema katka wanaume elfu alionekana mmoja tu, lakini katika wanawake wooote hakuonekana hata mmoja. Maana yake ni nini basi? Mwanamke; piga ua galagaza ni tegemezi. Hakuna namna unayoweza kufanya liwe vinginevyo.
.
 
Napinga kabisa suala la kupongeza wanawake wanapopata fursa za juu. Tuwapongeze wanapodeliver quality service kwa umma mpana wakishashika nafasi hizo. Nasema hivyo kwa sababu ya kinachotokea bungeni hivi sasa. Kama mnafuatilia bunge kwa makini, kama mnafahamu unyeti wa mswada wa Mabadiliko ya Katiba uliolazimishwa kusomwa bungeni kwa mara ya Pili badala ya mara ya Kwanza, na kama mmefuatilia na kuona mchango wa wanawake wengi tena wenye madaraka wanavyotumia nafasi zao hizo kukandamiza sauti na matakwa ya wananchi, basi utaungana nami kwamba badala ya kuwapongeza wanawake hao watatu, tujitokeze hadharani kusema wazi kuwa wanawake walioko bungeni tuliodhania watasimama kulivusha taifa, wanaliangusha taifa!

Jopo hili la wanawake linalozamisha taifa bungeni ni Anna kilango na michango wanayoitoa inadhihirisha hawana msaada wowote na wanawake wenzao wanaoteseka kwa kupigwa virungu sokoni na mgambo, hawana msaada kwa wanawake wanzao wanaojiuza kwa ugumu wa maisha, hawana msaada kwa wanawake wenzao wanaoteseka kuchambua maharage kwenye mashamba ya wawekezaji kwa ujira wa tsh.500 kwa siku, hawana msaada kwa wanawake wenzao wanaoteseka magerezani bila taulo za kike kwa miaka mingi sasa,hawana msaada kwa wanawake wenzao wanaoteseka kwa kazi za uhouse girl kwa mshahara mdogo sana wa 'from hand to mouth'.
Wabunge wanawake wa CCM ambao walitegemewa kuwawakilisha wanawake wenzao bungeni wamegeuka mawakili wa mafisadi kwa kutetea mamlaka makubwa kwa raisi ambayo dhahiri ndiyo yamelipeleka taifa pabaya kwani rais amekuwa na nguvu iliyopitiliza kwa kiasi cha kushiriki na kutetea ufisadi unaosababisha maisha magumu kwa wanawake wenzo na watanzania kwa ujumla.
Anna Kilango,juu ya mchakato huu wa mswada wa katiba umejichoresha mbele ya wapiga kura wako.
 
1) wanaume sio hovyo bungeni?
2) Waliowawaandalia mazingira hao wanawake hao kuwepo bungeni ni hovyo zaidi

mix with yours
 
Wanawake wa kweli walikuwa wakina Lucy Lameck, Sophia Kawawa sio hao wana-manapisho. Awamu hii iwe mwisho, 2015 hakuna viti maalum.
 
Kama kuna kundi nlilolishangaa ni la wanawake,yaani wako stupid sana,hapa ndio mahali wangeonyesha maana ya wao kuwa bungeni ila wamegeuka vitumio.
 
hawa ni mama zetu wayaache ya kiumeni waendeleze ya kuongeza dunia tu. Ndio maana ambao wengi wako bungeni ndoa zao zinamatatatizo kwa kuwa walitoa vitu maalum wakapata viti maalum. Hapo mje mseme Rais awe Mwanamke wakati ya Makinda mnayaona
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mimi sikatai wanawake kupewa vipaumbele bali ninachokataa ni kumpa mtu cheo kwa kuwa ni mwanamke bila kujua kama anaweza kuifanya kazi!
Wangekua wanashaurika ningewashauri hizo nafasi wasichague wao ati kuwa mwanamke fulani apewe cheo fulani kama walivyofanya kwa huyu bibi makinda maana anatuaibisha wanawake wenzie.......
heri wangeitangaza hiyo nafasi alafu agombee na wanawake wenzie wenye akili na uwezo hata na wanaume!
angekua anafaa angepata tuu na angekosa ni kwamba hawezi........
 
Tumezidisha kuwapendelea kila mahali, ndio yatutokee puani sasa. Mi nadhani hata hivyo viti maalum visiwepo havina mana yoyote.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
.
Mhubiri 7:26-28. Inasema katka wanaume elfu alionekana mmoja tu, lakini katika wanawake wooote hakuonekana hata mmoja. Maana yake ni nini basi? Mwanamke; piga ua galagaza ni tegemezi. Hakuna namna unayoweza kufanya liwe vinginevyo.
.

Hasa ambaye haja olewa ama kaachika huwa hana confidence kabisa...Wanawake bila wanaume huwa hawana maamuzi yaliyo simama maana ameumbwa kumfurahisha mume wake. Nyuma ya mwanume aliyefanikiwa yuko mwanamke lakini mbele ya mwanamke asipokuwapo mwanaume aliyefanikiwa (mwenye maamuzi sahihi) dunia yote huanguka. Hili lilithibitishwa na Adam alipokubali kuongozwa na Hawa.
 
Back
Top Bottom